Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Mwaka wa uchaguzi, tutayaona mengi sana.

Kweli kabsa lzma tuone mengi, ccm wanapokwaruzana nje nje na kurushiana makombola wao kwa wao, kufisidi kila sekta kama escroow,,,,, kwa CDM (UKAWA) mtakuwA mnashuhudia mambo kama hayo. Mnalo mwaka huu... mmekamatwa palepale na bado mpaka m..ja»»m»»b»»e
 
Only if angefanya hivi 2011 ningemsifu sana...ila mwaka huu maigizo mengi hivyo tutashindwa kumjua wa ukweli ni nani na wa maigizo ni nani.

we should evaluate mtu au chama based on they have done for the past four years. why donate and be humble mwishoni? vingi vitakavyofanywa mwaka huu 2015 ni danganya toto tuu.
 
Sipingi hilo unalolisema na ndio maana nimesema ni mfano wa kuigwa. Ila ukumbuke sisi washabiki na wanachama wa cdm tunaikataa ccm kwa matendo yao na sio kwa rangi yao. Isije ikawa tunapinga matendo yanayofanywa na ccm wakati huo huo tukawa mabubu wanapofanya cdm. Kama ni kweli limekuja mwaka huu na amelitoa kwa dhamira nzuri well and good. Nadhani wewe na mimi sio wageni wa miundo mbinu kama barabara, maji na umeme kuboreshwa mwaka wa uchaguzi na ccm ili waendelee kubaki madakani, sisi tutumie mbinu ya kweli ya kuwaletea maendeleo wananchi wakati wote na sio kipindi fulani tu ili kupata kura baada ya hapo tunaingia mitini. Rekodi ya Mh. F.Mbowe ya miradi ya maendeleo kipindi chote alipokuwa mbunge ndiyo itakayombeba na sio kuvuta shuka asubuhi. Ukweli utatuweka huru kama taifa na wote tunapaswa kusimamia hili ili tutembee kifua mbele pindi tunapotumia majimbo ya wabunge wetu kama mfano. Ila kama tutatumia approach zilezile za kiccm mbona itakuwa majanga huko mbeleni tukipata madaraka.

Umeongea point sana mkuu,, napongeza sana kitendo cha mh mbowe kufanya iyo kitu, bt turudi nyuma na tuangalie wenzetu wanapokosea nasi turekebishe. Kama uwezo wake ndo kaupata nyakati hizi flesh. Bt destuli yakufanya haya mambo kipindi hiki na wakati ulikuwa na uwezo wakufanya before haileti good image to the public. All in all tunashukuru kamanda coz later is better than never
 
pesa za escrow zinafanya kazi. Mbowe alipokea mgao wake Kenya
 
tundu lissu hata vitabu kwenye shule ya msingi aliyosoma ameshindwa kusaidia.
aige mfano wa chair wake
 
....

...safi sana hii hata nungunungu akisimama barabarani hapiti mtu !!!


bajaji_three_wheel_motorcycle.jpg

Acha basi matusi kijana
 
Wakati unaandika uliandika ukiwa unafikiria masaburi au? Nani mwenye jukumu la kusimamia ELIMU ni Mbowe kama yeye AU SERIKALI YA CHAMA CHA MAJA...........? any way b4 u write any thick by using ur BRAIN and NOT MASABURI PLS!!!!!! Have a Day.

Mkuu jamaa hajielewi huyo.. plz next tym hiyo rangi hapo inaumiza macho balaa mkuu, chagua rangi nyingne
 
Wana Hai msidanganywe na kigari cha milioni 25 mkauza utu wenu tena kwa kumchagua huyo tapeli.
 
Kweli kabsa lzma tuone mengi, ccm wanapokwaruzana nje nje na kurushiana makombola wao kwa wao, kufisidi kila sekta kama escroow,,,,, kwa CDM (UKAWA) mtakuwA mnashuhudia mambo kama hayo. Mnalo mwaka huu... mmekamatwa palepale na bado mpaka m..ja»»m»»b»»e

Mwaka wa uchaguzi, tutayaona na kusikia mengi sana.
 
Back
Top Bottom