Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Freeman Mbowe atoa magari ya wagonjwa Hai

Only if angefanya hivi 2011 ningemsifu sana...ila mwaka huu maigizo mengi hivyo tutashindwa kumjua wa ukweli ni nani na wa maigizo ni nani.
 
Ametoa magari au gari?

Bora huyu amejitahidi, mwenzake Godbless J Lema yeye alipewa msaada na bado akayauza.

baba yenu aliahidi kuwaletea bajaji ambulensi kutoka kwa wafadhili wenu je ziko wapi ..au ndo katumbukiza kwenye uleee mtaa wa TUMBONI?
 
Last edited by a moderator:
Kikwete kaahidi elimu bure kuanzia mwakani kashajua hakuna uchaguzi mwaka huu..
 
Only if angefanya hivi 2011 ningemsifu sana...ila mwaka huu maigizo mengi hivyo tutashindwa kumjua wa ukweli ni nani na wa maigizo ni nani.

Ficha aibu yako.Siyo lazima uchangie kama huna cha kusema
 
....

...safi sana hii hata nungunungu akisimama barabarani hapiti mtu !!!

bajaji_three_wheel_motorcycle.jpg

Hivi Kikwete aliishaleta hizi kitu? au ndo alikuwa anadanganya kwa kwenda mbele?
 
Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?

Wakati unaandika uliandika ukiwa unafikiria masaburi au? Nani mwenye jukumu la kusimamia ELIMU ni Mbowe kama yeye AU SERIKALI YA CHAMA CHA MAJA...........? any way b4 u write any thick by using ur BRAIN and NOT MASABURI PLS!!!!!! Have a Day.
 
Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?

Kwa hiyo hai ni lyamungo pekee , sis wa masama, SONU ziko wapi au ndo anapendelea huko nyumban kwake alipo zailwa .
 
Tatizo la Hai sio ambulance ni ukosefu wa madatari na madawa hospitalini.Sasa hiyo ambulance itakuwa inawakimbiza watu kuwapeleke mahali kusiko na madawa na madaktari?

Ko ulitaka apeleke madawa au madaktari? Na selikali yako ifanye nni?, akiwapeleka mishahara awalipe yeye miaka yoote au awanunulie dawa hadi lini?
Na vipi ukiwa na hao madaktari na dawa zipo hosp bt watu au wagonjwa wanafia njiani kwa kukosa kuwahishwa hosp? Tafakari!!!!
 
Back
Top Bottom