Freeman Mbowe Atembelea Ubalozi wa Marekani

Freeman Mbowe Atembelea Ubalozi wa Marekani

Mbowe, Mwenyekiti mahiri kuliko wote katika duru za siasa Tanzania. Hana mfano wake.
 
Balozi beware siku ukitaka kukutana nao Mbowe mkware atataka mkutane hotelini take care.Pesa mlizowapa zote wamezila heri hata wangepanga ofisi ya kueleweka Ukiona makao makuu yao utalia hailingani Na support from American people.Mbowe is a certified thief .Mind your handbag honourable Ambassador.
childish and stupid
 
Mmmmmmmm kibaka aliyevaa suti ya uenyekiti Chadema!!!!!.Acha hizo . Ambassador you deal with him at your own risk.Usije sema hatukukustua ukasema watanzania wezi
Mwambie huyo wa kwako tunamuhitaji yule Muhudumu wa Rafiki Lodge ambaye walifyatua Mtoto wao pale Singida amrudishe. Au amemfanya kama Watch8 baada ya kuula utukufu? Hizi kilometa zileta mambo!
 
Labda kwa kukunong'oneza tu ni kwamba Mh Mbowe alienda ubalozini kupokea ujumbe kutoka kwa Trump , ni kawaida kwa Mh Trump kupanga mipango ya maendeleo na vyama vilivyobakisha miezi michache kutwaa madaraka .
hahhah hahha haha ,Trump ujumbe zake kwa Tanzania mara nyingi anamtumia mh Mahiga
 
KWA HISANI YA RUZUKU ZA WATANZANIA
kiti cha waziri ummy mwalimu kimeandikwa ;kwa hisani ya watu wa marekani; simk la choo cha katibu mkuu afya limeandikwa hivyo hivyo, hata chanjo za kifsduro wao ndio wanatupa .... mnaweza nn nyie zaidi ya kusifiana ujingaaaaa. unajengewa daraja we kazi yako kuandaa hotuba na vikundi vya ngoma
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
ESCROW akaunti,EPA, TANGOLD,UMEME WA RICHMOND,MIKATABA YOTE MIBOVU ya madini na gess ni sehemu kubwa ya wizi wa mali za watanzania. Ni Mbowe alifanya wizi wote huo??
 
Heading ya mada ibadilishwe isomeke

KIBAKA ATEMBELEA UBALOZI WA MAREKANI KUANGALIA UWEZEKENO WA KUWAIBIA WATU WA MAREKANI
 
Sasa tatizo ni nini kwani? Nyie mlitakaje? Kwani alitumia nguvu kwenda kwa balozi, hizo ni diplomatic issues na diplomatic procedures zote zilifuatwa na kuzingatiwa,kelele za ni nini? Inawauma nini?
Wanaumia sana tena sana maana wanahofia kuwa yale maovu wanayotenda huenda yakafikishwa kwa hao wafadhili wakuu wa maendeleo yetu
 
Unatisha mkuu,salute
Nani kajikomba? Mbowe kwenda ubalozi wa US mmebaha sana,bad enough hamjui Mbowe aliongea nini na balozi,kama mmekereka mkamateni na Huyo balozi mumweke jela ili Navy Seal waje kumkamata jiwe magogoni na kuhitimisha utawala wa kishetani wa CCM.
 
Swali muruwaaaaaa
ESCROW akaunti,EPA, TANGOLD,UMEME WA RICHMOND,MIKATABA YOTE MIBOVU ya madini na gess ni sehemu kubwa ya wizi wa mali za watanzania. Ni Mbowe alifanya wizi wote huo??
 
Back
Top Bottom