Freeman Mbowe Atembelea Ubalozi wa Marekani

Kilichompekeka Mbowe ubalozini nini wakati ubalozi wa USA walishatuma mwakilishi? Si angeongelea Na hamsini zake? Kuwa sera imeshazinduliwa basi.Kwa nini aende kuuza sura Na kusumbua Balozi wa USA kama sio mwizi anayetaka kuibia American people?
pale hata wewe unaeza enda ,mkuu mbona kama unakitu hutaki
 
Ndugu hasira zote za nini? Mbowe kaonana na binadamu kama wewe tu,hajaonana na Mungu,mbona mioyo yenu imejaa wivu hivyo? Rais wa kwenu,serikali ya kwenu,kila kitu chenu sasa mbowe wa nini tena?
Ubalozi wa marekani ulituma afisa wake mkutano wa kuzindua sera mpya ya Chadema Mbowe ina maana haamini kama Yule ofisa ile sera yao mpya kuwa hakuifikisha kwa balozi hadi aende yeye kuipekeka?
 
Huyo Trump hataki kusikia chochote kuhusu Africa,keshasema America first,kujikomba na kujipendekeza hakutasaidia kitu
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
ccm wemye ofisi nzuri za kisasa, wameishia kuwa mafisadi na kwa miaka 50+ya uhuru, bado tunataifa ombaomba. kwa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kuwa na vifaa vya uokozi. badala yake mavifaa kibao ya kusaidia wizi wa kura!
 
Asiishie kupiga selfie tu na aombe msaada ujenzi wa HQ
Labda kwa kukunong'oneza tu ni kwamba Mh Mbowe alienda ubalozini kupokea ujumbe kutoka kwa Trump , ni kawaida kwa Mh Trump kupanga mipango ya maendeleo na vyama vilivyobakisha miezi michache kutwaa madaraka .
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Acha ushamba wako mifano yako yote ni ya kijuha kishamba shamba, wezi unao huko CCM huwaoni? Trillions 1.5 mmekula, chenji ya rada mmekula, 10% ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli, chato Airport mmekula, ruzuku ya CCM mnakula, tambua kuwa ruzuku ya chadema inatumika kujihami, kujilinda kuzuia hujuma za CCM, gharama za kurudia chaguzi, kessi za kubambikiwa na hujuma mbambali za CCM, hizo Dua zako hazitawapata chadema, chama sio ofisi bali chama ni watu na watu wapo ndiyo maana CCM kila wakinunua wana chadema hawaishi na wanazidi kuongezeka, ofisi hiyo hiyo lakini CCM hawapati usingizi mda wote wanawaza kudhoofisha chadema.
 
Pendekezo:
Mh. Mbowe asiishie hapo US Embassy; hata China Embassy aende. Utaelewa baadae maana ya pendekezo hili.
Na hata Balozi nyingine asikose kwenda. Matumaini yangu ni kwamba anapokwenda huko analo lengo maalum alilotumwa na chama chake.
Ukisaliti nchi yetu Tanzania Mwenye Enzi Mungu atakumaliza walahi!
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Hahahaha
Mijizi ya nchi kavu dunia nzima inawashangaa walahi!
Aibu yao, Alafu alivyoondoka tu huyo balozi kamjua kuwa ni tapeli la hali ya juu walahi
 
Kwa unafiki humu jf nadhani unashika no. 1 ukifuatiwa na cocochannel
 
Back
Top Bottom