Freeman Mbowe Atembelea Ubalozi wa Marekani

Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Duh!! kumbe kipaji cha kuimba taarabu unacho!! Ingia studio uanze kuingiza pesa kuliko mashairi yako kumtupia mbowe.
 
Mbowe kaenda kuwahoji kwa nini balozi wa marekani hajaonekana uzinduzi wa Sera mpya ya Chadema wakati walimwalika
kama alivoshanga yule shoga bashite kwenye uzinduzi wa kivuko cha mfugale kwamba aliwaalika wapinzani hawakuja..
tangu lini bashite akawapenda wapinzani
 
Huo uchafu una maanisha nini ?
Nyie si-hamtembei na kamusi ya lugha ya 'malikia' ; nadhani hata mlipoenda pale karibu na maeneo ya kituo cha mabasi Morocco hamkubeba kitabu hicho. Sasa swali hili unataka kuniaminisha kuwa mnalazimika kutembea na kamusi hiyo?
 
Taratibu za kwenda ofisi ya ubalozi wa nje zilifuatwa?Nakumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wanatakiwa wafuate taratibu fulani.
Waulize wahusika,kamaunakumbuka hivyo nadhani pia unajua pa kuuliza mkuu.
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Ni jambo la kusikitisha kama sio kustaajabisha kusikia kwamba ccm na miaka yote hiyo tangu uhuru hadi leo hawajawahi kujenga ofisi yoyote hata ya nyasi........!!!! na kama ipo mtuambie ilipo na waliijenga lini.

Wakishatoka madarakani watapigiwa hesabu majengo yote ya serikali waliotumia kwa mabavu toka Multipartism iliporejeshwa 1995 na ni wazi gharama hawataweza kulipa na ndio itakuwa mwisho wa hicho chama.

Huo ndio ukweli japo siku zote wanajifanya kutotaka kulizungumzia lkn itakuja kuwagharimu sana. Time will tell and perfect it.
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf

Kuna wakati nawaza kwa nini waTZ wengi wanaongelea mambo kimizuka mizuka hata angalau bila kuhusisha historia ya karibuni ya USA na demokrasia ya ulimwengu wa sasa.
Tulipashwa kuulizana / kujadili ni nini hasa kumempeleka huko USA Embassy na ni majibu au mkakati gani kapewa ili kama nchi / taifa tuangalie kama kuna madhara au lah. Siyo suala la kuongelea au kuoji kualikana kukutana kwa zamu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom