Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Nafasi nzuri ya kuwananga watesi wao kimataifa
Kama sio hiyo bendera huyo balazi yuko kama mjapan
Kaenda kuomb ruhusa ya kufanya vurugu na kumwaga damu ya watanzaniaKiongozi makini; katika sehemu makini; kwa wakati makini; na kwa umakini mkubwa.
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politician wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalfAsiishie kupiga selfie tu na aombe msaada ujenzi wa HQ
Jifunze kwanza kuandika jinga wewe!!Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politian wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Sio kama Mchina?Kama sio hiyo bendera huyo balazi yuko kama mjapan
And compassion may follow after the photo too. He ia very persecutoryKiongozi makini; katika sehemu makini; na kwa umakini mkubwa.
Someone who is badly obsessed with CHADEMA, will also be obsessed with photo.
Hapo naona tunakwenda sawa sawiaaa
Mara ngapi mkuu?Nafasi nzuri ya kuwananga watesi wao kimataifa
Hiyo utajua wewe ila cha msingi hakwenda na mkalimaniMbowe kaenda kuwahoji kwa nini balozi wa marekani hajaonekana uzinduzi wa Sera mpya ya Chadema wakati walimwalika