Freeman Mbowe Atembelea Ubalozi wa Marekani

Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politian wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Taratibu matusi hayo! Elewa tunaleteana kejeli za kisiasa na sio matusi. Huyo ni mwenyekiti please,tumuheshimu kama wengine wanavyo heshimu wanaojihusisha na viungo vya al....o bila kuwasema
 
Umeandika uharo mtupu
 
Pendekezo:
Mh. Mbowe asiishie hapo US Embassy; hata China Embassy aende. Utaelewa baadae maana ya pendekezo hili.
Na hata Balozi nyingine asikose kwenda. Matumaini yangu ni kwamba anapokwenda huko analo lengo maalum alilotumwa na chama chake.
Cdm wameahajitoa kwenye chaguzi hivyo sasa ni muda wa kujiimalisha kidiplomasia zaidi na kukiimarisha chama
 
Taratibu matusi hayo! Elewa tunaleteana kejeli za kisiasa na sio matusi. Huyo ni mwenyekiti please,tumuheshimu kama wengine wanavyo heshimu wanaojihusisha na viungo vya al....o bila kuwasema
Mmmmmmmm kibaka aliyevaa suti ya uenyekiti Chadema!!!!!.Acha hizo . Ambassador you deal with him at your own risk.Usije sema hatukukustua ukasema watanzania wezi
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politian wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
umeishiwa hoja
 
Kiongozi makini; katika sehemu makini; na kwa umakini mkubwa.

Someone at Magogoni who is badly obsessed with CHADEMA, will also be badly obsessed with photo!
watu wanafuatwa ikulu na mwana wa malkia wa Uingereza, we unaongelea ka picha na kabalozi tu...
 
Back
Top Bottom