Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,252
- 98,255
Mkuu huyo ni bimkubwa
We jinsia gani kwanza tuanzie hapo
We jinsia gani kwanza tuanzie hapo
Waelezeni wafadhili wenu wa nje ya nchi kwa nini hadi leo hamna ofisi ya makao makuu yenye hadhi iwe ya kujenga au kupanga? pesa zao mumefanyia nini Na muwaeleze hela zaidi ya milioni Mia tatu Na ishirini za rusuku mnazifanyia nini hadi mushindwe kuwa Na ofisi ya makao makuu ya kueleweka iwe ya kujenga au kupanga Mwambieni huyo balozi.Musiishie kumwachia hiyo sera mpya hewa ya Chadema!!!!!
Kaenda kuomb ruhusa ya kufanya vurugu na kumwaga damu ya watanzania
Huko kwingine awe makini, watamshikisha ukuta.
Hivi kumbe.
Yehodaya mbona unahangaika sana siku hizi ndugu yangu? Buku saba imekosekana?
Wezi wamejaa huko fisiem mnataka kuwahamisha kwingine???
Mbona unamtetea sana au ndio alivunja bikra yako?
walikuwepo mbonaMbowe kaenda kuwahoji kwa nini balozi wa marekani hajaonekana uzinduzi wa Sera mpya ya Chadema wakati walimwalika
Mbona unamtetea sana au ndio alivunja bikra yako?
Nyumbu ni nyumbu tu mkuu.
Alikuwepo ofisa ubalozi wa marekani tena mdogo sana sio balozi.Ndio maana kibaka Mbowe kaona Yule dogo hawezi mkwapua hela kamfuata balozi mwenyewe sababu dogo hana maamuzi na hawezi ongea Na Trump.walikuwepo mbona
sasa mkuu mambo ya sera za vyama navyo aende barozi mbona ni mambo ya ndani alienda ka shuhuda tu hata hana haja ya kunote kitu ni kuangalia tuAlikuwepo ofisa ubalozi tena mdogo sana sio balozi
Haya nawewe nenda ubalozini ukapige selfie.
Hiyo kwenda ikulu Prince William hata wewe ungekuwa rais bado angekuja hakumfuata Magufuli kama Magufuli amefuata Tanzania koloni Lao la zamani.watu wanafuatwa ikulu na mwana wa malkia wa Uingereza, we unaongelea ka picha na kabalozi tu...
Kilichompekeka Mbowe ubalozini nini wakati ubalozi wa USA walishatuma mwakilishi? Si angeongelea Na hamsini zake? Kuwa sera imeshazinduliwa basi.Kwa nini aende kuuza sura Na kusumbua Balozi wa USA kama sio mwizi anayetaka kuibia American people?sasa mkuu mambo ya sera za vyama navyo aende barozi mbona ni mambo ya ndani alienda ka shuhuda tu hata hana haja ya kunote kitu ni kuangalia tu
Ruzuku alambe mwingine, kende uning'inize wewe.
Umezoe kuning'nizwa wewe na chakubanga
Swali la kijingaTaratibu za kwenda ofisi ya ubalozi wa nje zilifuatwa?Nakumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wanatakiwa wafuate taratibu fulani.