Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,085
- 54,305
Alaa kumbe (kwa sauti nzito)Nashukuru Mungu serikali ilivunja billicanas club maana huyu jamaa angemaliza vijana wetu kwa sembe.
Alaa kumbe (kwa sauti nzito)Nashukuru Mungu serikali ilivunja billicanas club maana huyu jamaa angemaliza vijana wetu kwa sembe.
Hivi kumbe.Hawa jamaa hawaaminiki Mkuu. Kuna mmoja alijiphotoshop eti yuko UNGA united nations General assembly. Watu wakashtukia background ya selfie
Kuna watu hawatalala leo kisa Picha
Waelezeni wafadhili wenu wa nje ya nchi kwa nini hadi leo hamna ofisi ya makao makuu yenye hadhi iwe ya kujenga au kupanga? pesa zao mumefanyia nini Na muwaeleze hela zaidi ya milioni Mia tatu Na ishirini za rusuku mnazifanyia nini hadi mushindwe kuwa Na ofisi ya makao makuu ya kueleweka iwe ya kujenga au kupanga Mwambieni huyo balozi.Musiishie kumwachia hiyo sera mpya hewa ya Chadema!!!!!Yehodaya mbona unahangaika sana siku hizi ndugu yangu? Buku saba imekosekana?
Wezi wamejaa huko fisiem mnataka kuwahamisha kwingine???
We jinsia gani kwanza tuanzie hapoMarekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politican wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Naona Kibaka Mbowe pichani kavaa suti ya uhakika ya kutapelia ofisi za ubalozi.Ambassodor bewareYehodaya mbona unahangaika sana siku hizi ndugu yangu? Buku saba imekosekana?
Wezi wamejaa huko fisiem mnataka kuwahamisha kwingine???
Kwa kweli ni jambo la Kumshukuru Mungu sana!Nashukuru Mungu serikali ilivunja billicanas club maana huyu jamaa angemaliza vijana wetu kwa sembe.
Yaani mpaka kengeza zimesisimkwa. Mbowe bwana!Maskini !!! hapo anaona raaaaaaaaaha !
Keshafika mwisho wa reli hapoNdiyo mwisho wako wa kufikiri?
Balozi beware siku ukitaka kukutana nao Mbowe mkware atataka mkutane hotelini take care.Pesa mlizowapa zote wamezila heri hata wangepanga ofisi ya kueleweka Ukiona makao makuu yao utalia hailingani Na support from American people.Mbowe is a certified thief .Mind your handbag honourable Ambassador.
Taratibu za kwenda ofisi ya ubalozi wa nje zilifuatwa?Nakumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wanatakiwa wafuate taratibu fulani.
PowerrrrrrrrrrrrrPEOPLES [emoji1479]
Balozi beware siku ukitaka kukutana nao Mbowe mkware atataka mkutane hotelini take care.Pesa mlizowapa zote wamezila heri hata wangepanga ofisi ya kueleweka Ukiona makao makuu yao utalia hailingani Na support from American people.Mbowe is a certified thief .Mind your handbag honourable Ambassador.
Yaani mpaka kengeza zimesisimkwa. Mbowe bwana!
Ndo kaimu balozi wa USA nchiniKama sio hiyo bendera huyo balazi yuko kama mjapan
Balozi beware siku ukitaka kukutana nao Mbowe mkware atataka mkutane hotelini take care.Pesa mlizowapa zote wamezila heri hata wangepanga ofisi ya kueleweka Ukiona makao makuu yao utalia hailingani Na support from American people.Mbowe is a certified thief .Mind your handbag honourable Ambassador.
Aibu mnaona nyinyi Vibaraka wazandiki! Kwani kingereza ni lugha yetu ya Taifa!?Kuna mmoja leo kipara kilikuwa kinatoa jasho bila msaada wa mkalimani pale ingekuwa aibu
Yaani mpaka kengeza zimesisimkwa. Mbowe bwana!
Kwa kweli ni jambo la Kumshukuru Mungu sana!
Mungu ni mwema sana.
Naona Kibaka Mbowe pichani kavaa suti ya uhakika ya kutapelia ofisi za ubalozi.Ambassodor beware