Freeman Mbowe Atembelea Ubalozi wa Marekani

Taratibu za kwenda ofisi ya ubalozi wa nje zilifuatwa?Nakumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wanatakiwa wafuate taratibu fulani.
Sina uhakika kwa hili lakini nafikiri liko ok .Ingehitajika kama balozi anatembelea ofisi ya Chadema kuna tararatibu ilitakiwa zifuatwe lakini Mbowe kwenda it is ok kwa ufahamu wangu mdogo kwenye hili naweza sahihishwa kama siko sahihi .Sioni tatizo la Kisheria kwa Mbowe au Balozi kwa mawazo yangu
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politian wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Duh sasa povu lote hilo la kazi gani.
 
kuna maelezo yyte tofauti na picha yaliyoandikwa hapo?wewe hukuona wakikabiziwa hata kamusi kueneza kiswahil yy kapeleka nini ubalozini tofauti na u.....
Ungeuliza kilichompeleka ungeambiwa ni watu wenye uelewa mdogo tu ndio hujadili picha.
 
wenye ueleo mdgo kma wewe ndo wanaweza kutojua kilicho mpeleka, kwani aliyeweka picha akakataa kusema kilicho mpeleka umemuona ni mbumbu kma wewe?
 
Marekani waliwasaidia mno Ila Chadema Mbowe Na genge lake wezi.Hana haya hapo kaenda ofisi ya ubalozi wa Marekani balozi yeye kamtaka wakutane ofisini sababu ana ofisi nzuri sasa ifike zamu ya Chadema kukutana Na balozi mbio watamkimbizia hotelini kuwa tukutane hotelini!!!!! Shame on you Chadema balozi mwanamke mkutane naye hotelini!!!!! Pesa zote za ruzuku za Kila mwezi na michango ya wafadhili wa ndani Na nje mumeshindwa kujenga ofisi vibaka nyie? Hamna hata haya.Ona kibaka wa fedha Mbowe macho makavu utafikiri sio kibaka.Hapo kapeleka sera hiyo ya Chadema ili wamtapeli balozi na pesa za wamarekkani as if he is a serious politian wakati mwizi.Balozi piga kelele za mwizi tafadhali watu wamkimbize Mbowe Na Mawe on your behalf
Yaani sheria ingekuwa msumeno ungekuwa jela!Jaribu umuite jiwe kibaka uone!!!!Japo kweli alipiga nyumba za serikali
 
Taratibu za kwenda ofisi ya ubalozi wa nje zilifuatwa?Nakumbuka kuwa viongozi wa kisiasa wanatakiwa wafuate taratibu fulani.
Balozi hajakosea chochote angalia hata comment.Ubalozini ni ofisi Na balozi hajasema chochote kibaya kasema thanks for your visit Today hamna tatizo kabisa kwa maoni yangu.Hata Mimi nikienda kumtembelea balozi nikitoka akiniaga ataniambia thanks for visiting us niwe CCM , CUF, Chadema etc.Balozi yuko ok
 
Mungu mbariki Mbowe , Mungu ibariki Chadema ambayo ni MPANGO WAKO WEWE MWENYEWE AMBAO ULIAMUA BILA HIYANA KUILETA TANZANIA NA KUIPA MAMLAKA YA KUKOMBOA WANANCHI WALIOGEUZWA WATUMWA KWENYE NCHI YAO YA KUZALIWA NA KIKUNDI KINACHOITWA CCM , KWA UKUU ULIONAO HAKUNA BINADAMU AU KIKUNDI CHOCHOTE CHA KUZUIA MPANGO WAKO HUU .
 
Balozi hajakosea chochote angalia hata comment.Ubalozini ni ofisi Na balozi hajasema chochote kibaya kasema thanks for your visit Today hamna tatizo kabisa kwa maoni yangu.Hata Mimi nikienda kumtembelea balozi nikitoka akiniaga ataniambia thanks for visiting us niwe CCM , CUF, Chadema etc.Balozi yuko ok
Ngoja waje wataalamu ila nakumbuka kuna makatazo fulani.
 
Mmmmmmmm kibaka aliyevaa suti ya uenyekiti Chadema!!!!!.Acha hizo . Ambassador you deal with him at your own risk.Usije sema hatukukustua ukasema watanzania wezi
Ebu soma ulichoandika alafu ujione ulivyobashite!!!Acha kuandika kiingereza kibovu.....Ambassador you deal with him at your own risk."It sucks,please just get back to school!!!
 
Kuna watu hawatalala leo kisa Picha
Aah wapi! Upupu huu!
Hahahaha
Wenzio wako
956BDDD7-0944-4250-9596-8B587A7D1B1B.jpeg
AD9FF1BC-6162-4AAB-A7B4-1D83BF98016D.jpeg
 
Back
Top Bottom