MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,590
- 11,811
Balozi Mbowe
Hii ni dhahiri huyu alikuwa pandikizi wa ccm ; hakuwa mpinzani!Ngoja nikachekee chooni😂😂😂
Kufanyaje?Mbowe atafika mbali sana.
Haimuathiri ?Binafsi nahisi Mbowe ana grudge na Lissu, jinsi mwamba alivyombagaza kwenye kampeni kama ni mtu mwenye roho nyepesi huwezi kusahau. Na ndicho anachomfanyia Lissu leo, it's like he's kept it inside/in his heart.
Umekosea. Huyo ndiye mgombea kiti cha urais kupitia chama cha upinzani cha CHAUMA kwenye uchaguzi mkuu wa October 2025 atakayechuana na Samia wa CCM.😀 😀 anasubiri Uteuzi
Mkuu video haifai? 😀😀😀.
Nchi inazindua dira ya taifa nyie mko bize kumjadili Mbowe. Mpimwe akiliSema mbowe ni kiongozi anaye hongeka kirahisi sana kusaliti haki na wajibu wa kiongozi muwajibikaji
Staili ya Lissu ndo kiboko, dawa ya malaya!Lisu akiona picha kaama hizi anazimiaa, Mbowe ana siasa za kimahesabu lisu anakamia kama kupaka mkongo kisa wasubiri dem
Mkiona amekuwa waziri mkuu kwa ticketi ya CDM msishangae sana.Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
Kanda zipi mkuu? Kwani hizo Kanda siyo Tanzania? Acha ubaguzi. Usibague Watanzania kwamba hawafai kuongoza nchi.Watu wa Kanda Ile hawafai kuwa wakuu wa Nchi kabisa, Nyerere was Right
😂😂😂😂😂Yuda wa zamani baada ya kumsaliti Yesu alienda akijuta hadi akaenda kujinyonga japo alirudisha vile vipande vya fedha... Huyu wa sasa ndio kwanza anatafuta nafasi walau apate rungu la kumsulubisha Lisu
Mbona ya G55 sijaona?Ya kuwaringishia CDM
Ndio fact hio nyie endeleni kufanya Biashara tu ila linapokuja swala la Power lazima tuwe selective sana, Hamfai kabisaKanda zipi mkuu? Kwani hizo Kanda siyo Tanzania? Acha ubaguzi. Usibague Watanzania kwamba hawafai kuongoza nchi.
namna hii ndo slowslow na gwaji watawalipa pia wanaowaita mashujaaMwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.