Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Mbowe angefanya vizuri sana kwenye maisha yake kama angeachana na siasa za majukwaani akawa mshauri wa siasa na mambo ya kitaifa bila kujali chama kama Wazee Wengine eg Warioba, Butiku, Prof Baregu, Prof Safari, Mizengo Pinda etc
 
Lissu akicheza cheza watamfunga kimasihara na hakutakua na hasara yoyote, kwani nani alimjua Lissu kabla ya siasa za upinzani?? Freeman Mbowe ana historia na bongo toka baba yake Aikael Mbowe akiwa na ukwasi wa kumiliki Mbowe Hotels aka Bilicanas downtown Dsm. Sasa Lissu nani anawajua wazazi wake huko Ikungi?? watamfunga huyu na iwe ndio mwisho wake. Ngoja nichukue popcorn movie nzuri sana hii.
Lissu alijulikana hata kabla ya kuingia kwenye siasa, alikuwa mwanaseria wa mazingira aliyewatetea wachimbaji wadogo wa dhahabu walioonewa wakati inaanishwa migodi mikubwa ya dhahabu na ndipo Mbowe alipomuomba ajiunge Chadema. Lissu anajadiliwa hadi na Bunge la EU wewe unasema nani anamjua.
 
Mbowe ni jabali la siasa za upinzani nchini na mwanadiplomasia nguli. Nampongeza sana.
Alichangia sana kwenye dira ya taifa akiwq kiongozi wa Chadema
Alichukulia zoezi la kukusanya maoni seriously na akachangia hasa

Mawazo yake mengi yameingizwa kwenye dora ya Taifa

Tofauti na akina Lisu n Heche na Lema na Gwajima ambao walidharau
 
Twende polepole...; Nadhani kuna tatizo kubwa la kuangalia mambo kwa mafungu na sio the whole equation....

Hapo kuna Serikali, Hapo kuna Dira ya Taifa.., Hapo kuna uwezekano wa Tender na kwa mfanyabiashara (entrepreneur) kuna uwezekano wa kusukuma / hoja zako ulizosukuma kuweza kukunufaisha binafsi; Mbowe ni Mfanyabiashara... Hitimisho ; Kuwepo kwake hapo sio ajabu na huenda kuwepo kwake ni beneficial kwa biashara zake kuliko otherwise....

Life sio Black or White..., kuna a lot of Grey Areas.... (i.e tuepuke hukumu za rejareja)
 
Binafsi nahisi Mbowe ana grudge na Lissu, jinsi mwamba alivyombagaza kwenye kampeni kama ni mtu mwenye roho nyepesi huwezi kusahau. Na ndicho anachomfanyia Lissu leo, it's like he's kept it inside/in his heart.
 
Natamani nijiunge CCM ili Mbowe akipita tu karibu yangu namng'ang'ania na bonge la doleee la tracklo mamama mer eeee jamaa kazingua sana .

Hivi Mdude,Mawazo Saa nane ,Kibao nawengine huko waliko wanajisikiaje aisee ?

Dah! Jamaa awe na haibu basi aisee
 

Attachments

  • IMG_20230323_192240.jpg
    IMG_20230323_192240.jpg
    27.8 KB · Views: 11
MCH. Msigwa atakuwa amenuna huko aliko. Kusikia Mbowe hehe kapiga licha na Rais wakati hehe anaishia kwa Makalla.
 
Back
Top Bottom