Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Maskini Mbowe ,mimi sikujua kuna wanaume dhaifu hivyo.Lissu komaa na reforms my dear
Anakomaa na nani? Wewe unamsaidiaje Lissu ili akomae na reforms?
Au hivi mnavyoandika humu ndo kukomaa kwenyewe?
 
Wanachadema wanatamani kufa kwa roho mbaya zao 😂 angalia hata comments zao
 
Mnaotaka demokrasia hamtaki wengine wawe na uhuru wa kuchagua wakipendacho. Wakiwa tofauti na nyie tu mnawananga. How is that democracy?
 
Mbowe ni muungwana.Abarikiwe sana.Wenye kufanya siasa za kukinukisha watakufa kwa presha
Mbowe hana siasa za mihemko.huamini kwenye hoja tofauti na lLisu na Heche

Mbowe akiona CCM ina hoja kumshinda huunga mkono ikiwa mbovu hupinga

Lisu na Heche na akina Lema na waunga mkono wao kazi yao huwa kupinga kila kitu cha CCM kiwe kizuri kiwe kibaya wao kazi yao kupinga tu
 
Mnataka mwenyekiti wenu akiacha kukaa na mkewe na Mbowe naye afuate hayo hayo,acheni kumpangia mzee wa watu bhana.Siasa sio uadui na kila mtu awe na maisha yake.
tulishasema lisu ni kichaa
 
Back
Top Bottom