King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,418
- 88,746
Mbowe atafika mbali sana.
"Moyo wa mtu upo ilipo hazina yake"Mbowe ni jabali la siasa za upinzani nchini na mwanadiplomasia nguli. Nampongeza sana.
Ukiangalia umri wa Mbowe sio wa kurupushan, ni mda wa kulea wajukuu.Mnataka mwenyekiti wenu akiacha kukaa na mkewe na Mbowe naye afuate hayo hayo,acheni kumpangia mzee wa watu bhana.Siasa sio uadui na kila mtu awe na maisha yake.
Ayatollah Mbowe tunamfahamu siku nyingi—Ni mtu wa transactions. Anaweza kuuza chochote (narudia, chochote) kama kinanunulika!Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
Vinyongo vinaua.Haitusaidii lolote
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema na ambaye kwa sasa ni mwenyekiti na mgombea Urais wa Chaumma.........Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
Shahidi wa jamhuri qmmk dakikaaaa za jiooooooni asante wajumbe mliokataa utapeli wa miaka zaidi ya 20Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
Mbowe mwuungwana sana, amejenga upinzani wenye heshima siyo wa kuharibu nchi. Alitumia akili kushawishi vijana wa vyuo vikuu siyo km huyo lofa anayetaka kutumia nguvu eti tutakinukisha! Yule hawezi kufika kokote.Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe amepata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, uliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete (JKCC) jijini Dodoma.
We mwehu tu, OKTOBA TUNATIKI kama kawaNo Reforms no Election