Nothing happens for no reason. Kiprotocali, niambieni nini kinaweza kutoa fursa ya picha kama hii Kwa Mh Mbowe ?
Wote wakae afu Mwamba asimame nyuma peke ake as a king ?
Sio hivyo tu , presida mwenyewe aamuke asimame na mwamba peke Yao kama wafalme wawili wenye mamlaka kamili wamekutana ?
Lazima Kuna agenda , iwe ni Kwa kujua au kutokujua. Hili sio tukio la kawaida Kwa event ya Leo.
Mambo makubwa 2 yanawezekana.
1: Staged attention kuzima moshi wa Jana wa Gwajima na Mzuki mpya aliotaka kutusikiliziaha Pole pole Leo. Ikiwa Ina maana Mh Mbowe amekubali kua ni kibaraka au dalali kama vijana wa kijiweni wanvyomuita au
2: Kuna jambo Mungu anataka kulifanya kupitia harmonization hii. Tukio hili ni kama Kuna wingu limefunguka kuruhusu agenda ya reconciliation kuendelea. Kama option hii ndo lengo , Mungu bariki or else ni giza nene, usariti, na huzuni Kwa wanahatakati wa NRNE .