Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Nashangaa ubishi mwingi humu ndani, hapo angekua ni jamaa wa CCM kelele zingekua nyingi kumuita fisadi, sasa kwa kua ni Mbowe raia zinatetea za kutosha tu.. unadhani kuna kipimo gani cha kuonyesha kua watu wametekwa akili kama sio hiki? Tukienda hivi mind controlled hatufiki, swala ni mtu yeyote hata awe na nyumba angani, ilimradi kaipata kihalali shida iko wapi? kwa kua ni mwanasiasa ndio hatakiwi nani kasema hilo? It doesn't matter ni CDM wala CCM wala NCCR n.k vichwa vya wabongo wengi ni ku-judge fasta ovyo ovyo utasema kila mwanasiasa ni mwizi. Tusikae tunashabikia huyu ni mwanachama wa wapi, bali tushabikie watu individually kua fulani anafanya kazi vizuri flani yuko ovyo, kwani CDM ndio hakuna wabaya? au CCM ndio hakuna wazuri? Pote wapo wabaya na wazuri.. Fikiria nje sio unapelekwa ka zezeta kila unapovutwa unaenda
 
Mhh...hiyo ni statement yangu kweli?Maana sina tatizo la asili la R na L labda iwe typing error tu.Kumradhi

Nakumbuka kuna jamaa mmoja alisema kuwa ipo siku Ben Saanane utakuja kulikana jina lako. kama unakataa sentensi uliyoiandika mwenyewe utashindwa kulikana jina lako? Nenda post namba 3 halafu jitathmini kama uliandika sahihi. vinginevyo tuamini kuwa Id ya Ben Saanane ni "SHARED ID"
 
yani kuna watanzania vichwa maji hizo ni mali za familia yake vinahusu nini chama yani kila mtu fisadi kweli watanzania tupo nyuma sana, then roho inaniuma sana coz watu wanao hoji huo upumbavu ni vijana ambao ndio viongozi wa kesho tubadilike tuache malumbano yasio na tija
 
Nashangaa ubishi mwingi humu ndani, hapo angekua ni jamaa wa CCM kelele zingekua nyingi kumuita fisadi, sasa kwa kua ni Mbowe raia zinatetea za kutosha tu.. unadhani kuna kipimo gani cha kuonyesha kua watu wametekwa akili kama sio hiki? Tukienda hivi mind controlled hatufiki, swala ni mtu yeyote hata awe na nyumba angani, ilimradi kaipata kihalali shida iko wapi? kwa kua ni mwanasiasa ndio hatakiwi nani kasema hilo? It doesn't matter ni CDM wala CCM wala NCCR n.k vichwa vya wabongo wengi ni ku-judge fasta ovyo ovyo utasema kila mwanasiasa ni mwizi. Tusikae tunashabikia huyu ni mwanachama wa wapi, bali tushabikie watu individually kua fulani anafanya kazi vizuri flani yuko ovyo, kwani CDM ndio hakuna wabaya? au CCM ndio hakuna wazuri? Pote wapo wabaya na wazuri.. Fikiria nje sio unapelekwa ka zezeta kila unapovutwa unaenda

Mkuu, biashara akifanya kada wa ccm ataitwa majina kibao ya kuudhi. huyu anamiliki bilicanaz na nyumba kibao ndani na nje ya nchi wanasema eti mfanyabiashara halali. CHADEMA wasipoangalia watafilisi mpaka katiba zao
 
hii ndiyo mipango yao itabidi wananchi wawajue vema kuwa chadema si watu bali ni jamii ya shetani hivi huwezi kuchangisha watu kwenye mikutano halafu wewe unajenga majumba dubai.
 
Ngoja niwasaidie wapumbavvu wote wasio na akili, muongezeni na Mzee Ndesamburo kwenye orodha yeye ana nyumba na Hotel Uingereza.
 
Nakumbuka kuna jamaa mmoja alisema kuwa ipo siku Ben Saanane utakuja kulikana jina lako. kama unakataa sentensi uliyoiandika mwenyewe utashindwa kulikana jina lako? Nenda post namba 3 halafu jitathmini kama uliandika sahihi. vinginevyo tuamini kuwa Id ya Ben Saanane ni "SHARED ID"

Nimetoa option kuwa pengine ilikua typing error.Sasa hizo hadithi nyingine za Fisi na Sungura sijui unaziingiza hapa za nini.Turudi kwenye mada sasa
 
Ni wale ambao wapo tayari kumtuhumu mtu yeyote hata kama anatimiza wajibu wake. Leo Tanzania Daima wanalaumiwa kisa wameandka kikwete ana jumba dubai. Sasa hapo tatzo lipo wapi hadi raia mwema liitwe kibaraka? Kikwete ana uwezo wa kumiliki nyumba hata london

Kitila kasema msigombane na kila mtu. Hyo ndo point. Msiwe mnabebwa kirahisi na hisia kuwa mnahujumiwa kila mda. Raia mwema limekuwa upande wenu kwa muda mrefu.halistahl kufanyiwa hivi. Chungeni wanachama wenu wanaoendeshwa na hisia kuliko ukweli.
#ASANTE BEN! KAZI NI KUBWA KWELI YA KUELIMISHA MAZUZU MPAKA YAKAE KTK MSTARI "ignorancy rate in tanzania is so high in level"
 
nimefunguka macho na masikio, asante mkuu kwa kunitoa tongotongo, Jenerali ni kada dam dam, ni mtu wa mitandao ya urais.

Nadhani hii ni analysis nzuri. Mara zote nilikuwa nalichukulia gazeti lake kama credible paper ukichanganya na kile kipindi chake cha J3 chten tv. Kumbe ni danganya toto? Anaogopa asijeambiwa mhamiaji haramu.
 
Nimetoa option kuwa pengine ilikua typing error.Sasa hizo hadithi nyingine za Fisi na Sungura sijui unaziingiza hapa za nini.Turudi kwenye mada sasa

ukweli mchungu. Ben unajidhalilisha sana kwa kukosa umakini
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi. Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
hilo jumba limesababisha ata ndoa yao kuingia doa kwa kumpeleka mbunge wa viti maalum chadema kutoka Arusha kwenda kujifungua Dubei. ila ni be mdogo wa Mbowe. hawa jamaa ni wafuska sana.
 
Mkuu, biashara akifanya kada wa ccm ataitwa majina kibao ya kuudhi. huyu anamiliki bilicanaz na nyumba kibao ndani na nje ya nchi wanasema eti mfanyabiashara halali. CHADEMA wasipoangalia watafilisi mpaka katiba zao
kwa kutambua hilo, ivisasa Chadema wamefilisika upeo wa kuwaza juu ya Taifa hili na wamekalia majungu. si kosa lao nitatizo la uwezo mdogo wa elim walionao viongozi wao.
 
Ngoja niwasaidie wapumbavvu wote wasio na akili, muongezeni na Mzee Ndesamburo kwenye orodha yeye ana nyumba na Hotel Uingereza.
bila kumsahau Nasari kapata ubunge juzijuzi ila ivisasa kanunua kiwanja userlive hekari 19 kwa millioni 108 na kingine million 72 na amenunua nyumba Arusha mjini ya thamaani ya million 570. huu ni ufisadi.
 
Back
Top Bottom