Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,751
Nakuja badae
Potelea huko huko gamba we
Nakuja badae
mbowe amenizidi pesa sana lakin mi mbona na nyumba marekan kwa hiyo na mim ni fisadi?
na sifany kwa mtu ni shuguli zangu. Tanzania ukiwa na pesa unaonekana fisadi
ukoo wa mbowe ni matajiri tangia enz za babaake..kama lowasa
Kumbe nyumba ni ya.ukoo???!!!
Hata kama ni ya kwake binafsi kuna tatizo gani? Kuna sheria yoyote inayomkataza kuwa na nyumba Dubai?Thread za kipumbavu kabisa hizi kutoka kwa mtu mjinga.
ujinga unakusumbua hujui tofauti ya kuwekeza na ufisadi! maskini mkubwa wa kiakili!Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.
Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
-Mbowe ni Mfanyabiashara anayelipa kodi kwa Mujibu wa Sheria.
Kuhusu Malicious intent kwa kuandika story zenye malengo mabaya kisiasa ni.jambo la hatari sana
Raia Mwema nimekua nikiliheshimu na hadi sasa nawapa benefit of doubt ili niwe rational.
Ukweli wa jambo lolote ni suala la Muda.Sidhani sasa kama Raia Mwema wamebadili dimension ya Legacy yao waliojenga kwa muda Mrefu kwa kuamua kwenda Gutter na irresponsible Journalism.
Jenerali Ulimwengu ana heshima kubwa nchini kitaaluma na katika weledi.Sidhani kama anaweza kuruhusu mambo haya
Wakati huo huo hatuwezi kupuuza kila lisemwalo maana kuna mambo mengi.Uchaguzi ndani ya CHADEMA unakaribia,Hoja ya Kuficha Mabilioni nje inaweza kuwa diluted kwa mbinu mbalimbali na pia kwa kuwa kuna wanasiasa wanahusika na hoja hii wanaweza kuitumia kisiasa kujinufaisha na kuwalenga maadui zao kwa sababu wanazozijua ambazo no doubt ni za Kisiasa
Najua wanapita wahariri hapa,Sasa sote tujiulize ;
Je,Tunapokubali kutumia vyombo vyetu kwa maslahi ya kisiasa ya watu wachache tunaitendea haki jamii?Je,misingi ya Demokrasia na mhimili wa media tunautendea haki?Tunakuza au tunafifisha tasnia ya Habari?
Hata kama ni ya kwake binafsi kuna tatizo gani? Kuna sheria yoyote inayomkataza kuwa na nyumba Dubai?
Thread za kipumbavu kabisa hizi kutoka kwa mtu mjinga.