Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

TUNTEMEKE, kila ninapoiona ID hii nanyanyua bastola yangu tayari kujihami na masalia wanaochafua CDM na watanzania.
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
Wewe pigana na majambazi ambayo hayakudeclare mali zao wakati wanaingia kwenye siasa siyo huyu. Majambazi haya yapo CCM yamejiestablish kwa kodi zetu hivyo yanaficha USWISS na kwingineko!! sasa yanawindwa kama swala. Sasa huyu aliyedeclare unamtakiani?? Wivu wa KIKE!!
 
Wakuu tujikumbushe haya mambo ya wapigania haki zetu,kama mtu kabla ya kupata bil.10 alikuwa anafanya hv je sasa baada ya kupata si atahama nchi kabisa?
tafakari,chukua hatua!!!!!
 
MBOWE,NDESSAPESSA,MTEI are very gr8t political entrepreneurs.
 
Chadema wanahangaika na wanahamasisha watu wajitolee halafu pesa ya ruzuku mnakwenda kujengea nyumba na hati ya nyumba unaandika jina la mchumba wako hivi kweli ni akili au matope mwakani mtarudisha nyumba na gari chama anayotumia slaa.

Mtu huyo unaemzungumzia alikuwa na pesa nyingi tu kabla hata hajawa mwenyekiti,na ndio mwenyekiti pekee wa chama ambae hapokei mshahara kutoka kwenye chama,na hata baba ake enzi za uhai wake alikuwa akiikopesha serikali kipindi cha mwalimu,hvyo suala la kumiliki nyumba nje ya nchi ni kitu kidogo kwake.
 
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.

Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.

Kwahiyo
 
Ulimchangia shilingi ngapi kwenye hiyo nyumba?umbeya tu.nenda tume ya maadili ukaone amejaza nn.mwenzio mali kazikuta kwenye familia yao.
 
Chadema wanahangaika na wanahamasisha watu wajitolee halafu pesa ya ruzuku mnakwenda kujengea nyumba na hati ya nyumba unaandika jina la mchumba wako hivi kweli ni akili au matope mwakani mtarudisha nyumba na gari chama anayotumia slaa.

Tupe sorce au ndio sindano inakuingia sasa umeanza kutapa tapa...???
 
Back
Top Bottom