Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

Freeman Mbowe anamiliki jumba la kifahari Dubai!

OK I LOVE THIS, NAOMBA NIKUONYESHEE UTOTO WA MAJIBU YENU KAMA NILIVYOSEMA MWANZONI:-

- Unasema sina brain na kwamba I am functionless, great una maana umekuja mbio kumjibu mtu ambaye ni no brain na functionless? Sasa what that tells about you?

- Eti ni mjinga gani Duniani anayeweza kulinganisha utajiri wa Mbowe na Mzee Kenyatta? Hivi wewe kweli ni mzima Uhuru familia yake ya Kenyatta inamiliki 50% ya Ardhi yote ya Kenya ambayo ni the best collateral kwa ajili ya benki kumpa mikopo ndio maana ameweza kuendeleza zile pesa kama vile Donald Trump, ambaye na yeye aliachiwa Ardhi nyingi na baba yake so ikawa rahisi kwake kukopa na kuendeleza mali za USD 200, Million alizoachiwa na baba yake, lakini sio Mzee Mbowe nasema bila kuogopa kwamba hakuacha mali mtoto wake leo kuwa na majumba nje nchi kama Dubai, USA na South Africa ambako ni lazima ulipie kodi kubwa sana ya property ama sivyo Serikali za huko zinakunyanga'nya ardhi au jumba.

- Unasema Disco la pale Mbowe ndilo limempa hela za kununua majumba ya kifahari nje ya nchi? Really? So huu ndio utetezi wako kwamba hizo nyumba ameweza kuzinunua kwa kuendeleza utajiri alioachiwa na baba yake, atakuwa ndio Mtanzania wa kwanza kuwa na akili namana hiyo bro, kwamba baba yako anakuachia Disco unalendeleza mpaka unaunua majumba ya kifahari nje ya nchi, that is the best joke of this week!!

- Mwenyekiti wenu bado ana kazi kubwa ya kujieleza amepata wapi hayo mapesa ya kununulia hayo majumba ya kifahari huko nje? Mali alizoachiwa Kenyatta na baba yake hazifanani hata robo na alizoachiwa Mbowe, halafu bado kuna swali kubwa kwamba mbona hmajawahi kusema to the public kwamba anamiliki majumba nje aliyonunua kwa hela za halali? Kwa nini tumejua sasa baada ya Zitto kumkomalia nyani giladi, poleni sana haya sasa nendeni mkawaaambie wananchi vijijini kwamba Mzee Mbowe alikuwa tajiri sana alimuachia mtoto wake ambaye ameuendeleza ndio maana sasa anamiliki majumba ya kifahari nje!!

VERY CHILDISH!!

Le Mutuz

Unayepaswa kuonyesha kuwa mali anazomiliki si halali ni wewe, unajua aliachiwa kiasi gani? Usiwe mtu wa majungu kuna wakati hata baba yako aliambiwa kuwa alichukua pesa za Jeetu Patel ili agombee uraisi, na wakati mwingine akaambiwa amesilimu ili apate pesa ya Waarabu binafsi siamini.
 
Wakuu JF amani iwe Nanyi.

Wale ndugu zetu wa Buku 7 Project wameamua kumbebea Bango Mbowe kwa kumiliki kwake Nyumba ya Kifahari Dubai.
Hawa jamaa hawataki kabisa kuhoji kama Mbowe kama Mbowe ana uwezo wa kumiliki Nyumba hiyo ama la.
Cha ajabu zaid, Ndugu zetu hao wanasahau Kabisa kuwa hapa kwetu Tanzania (Shamba la Bibi) kuna wageni wanamiliki Majumba na vitega uchumi vingi kabisa.
Wanasahau kuwa kuna Mwarabu kule Loliondo kamilikishwa Ardhi ya wa Masai.
Hivi hawa Ndugu zetu nikiwaita wana akili za Misukule nitakuwa nimewatendea haki kweli jamii ya watu wenye akili za Misukule ???

mods tunaomba uunganishe huu uzi!!!huyu ajui alicho andka!cijui hajaona uzi unao zungumzia issue ya mbowe kumiliki jengo dubai???au ndo unaamka?
 
mods tunaomba uunganishe huu uzi!!!huyu ajui alicho andka!cijui hajaona uzi unao zungumzia issue ya mbowe kumiliki jengo dubai???au ndo unaamka?

Unaomba wewe na nani ???
Huu uzi unawahusu watu wanaomsakama Mbowe kwa kumiliki Nyumba Dubai na wala haumhusu Mbowe.
Jifunze kuwa unasoma Thread Nzima kabla ya kukurupuka
 
nini dubai watu wananyumba mpaka kwenye sayari ya jupiter na ukimuangalia mtu mwenyewe utakuta ni mtumishi wa umma tena mwenye cheo cha kawasida sasa mbowe mfanyabiashara wa siku nyingi kuwa na nyumba dubai ni zambi?jamani mbona kuna mambo mengi ya kujadili ya msingi na yenye tija,eti kikinuka tu anatimkia dubai kwani yeye haiogopi ICC?embu acheni fikra mgando bwana.
 
Tunashukuru kwa maelelezo yako mazuri japo sio convicing.Kwa UKWASI huo wa MWENYEKITI wa CHADEMA anakosa cfa ya kuwa kiongozi Muadilifu na Mzalendo kwa nch yake na kwa upande wangu ntakuwa mtu wa mwisho kumuondoa mh.Mwenyekt kwny orodha ya MAFISADI wa nch hii.
 
Kumbe mh. Mbowe sio mwenzetu,

Kumbe sera za CHADEMA NI kuwashibisha viongozi wake!!! Ole wetu cc wananchi tunaowafuata viongozi hawa!!!
Inaelekea viongozi wa CHADEMA mpo 'juu' mmejilimbikizia mali ile mbaya halafu mnatudanganya kwa kudai eti mnawatetea wananchi...,
wakati mnatetea matumbo yenu,
mnatetea familia zenu,
mnatetea nafsi zenu na marafiki zenu.

Kwa hakika wananchi tuandike tumeumia kwani CHADEMA si kwa ajili ya wananchi ila viongozi
 
watu wanamikakati ya muda mrefu, na muda mfupi, kwa hiyo nyumba ya dubai, kikinuka tu, huyoo anaishia zake kupumzika, sasa wanaachwa wale wasiojitambua kuonja joto ya jiwe, hii si sawa, watu waamke sasa..wanasiasa kama hawa hawana mema na nchi
Kirusi!!!
 
akil yako inamatege wewe. Mbowe kaanza kufanya biashara kabla kabla chadema. Mbowe anapesa. Anaweza kumiliki hata mkeo. parata wewe.
 
Kwani mbowe kuwa na nyumba dubai ni kosa???mbina mkapa yeye ana nyumba sauzi hamsemi?
 
Basi kuanzia sasa namuunga mkono Mbowe kuwa yeye ni tajiri wa kutupwa.
Anamiliki majumba ulaya.
Anamiliki mipesa nje ya nchi
Anauza madawa ya Kulevya na anamtandao mrefu hakamatwi
Amekula ruzuku na kuwafanya wenzake mazuzu.
Anataka atawale milele ili wizi wake usijulikane mapema na kipengele cha ukomo wa viongozi kilifutwa kinyemela.

Lakini huyuhuyu anajiita mnyonge,masikini anapohamasisha maandamano kumbe mwenzetu ana miji mingi nje ya nchi.
Basi namuunga mkono mbowe ngoja tuweleze wananchi huko vijijini kuwa anayewatetea ni fisadi kuliko Lowassa wa Monduli.
 
Ukweli ni Kama nyota gizani,Ukweli haubadiliki kuwa Uongo sasa tu unauchukia
 
Tunashukuru kwa ufafanuzi wako. binafsi sioni tatizo kama kanuni na sheria zetu zimefuatwa
 
Ni tabia ya Watanzania iliyozoeleka.kuwatoa watu kwenye ajenda muhimu ili kupoteza wakati kwa manufa ya wachache. Ajenda yetu kuu Watanzania kwa sasa ni KATIBA MPYA. Ngojeni tumalize hii kwanza kwa sababu mambo yote hayo yanayolalamikiwa kwa sasa jibu lake ni Katiba Mpya. Hii habari ya huyu ana majumba , magari viwanja vya ndege nk kwa sasa siyo ajenda yetu namba moja, waacheni wafu wawazike wafu wenzao.
 
Wakuu JF amani iwe Nanyi.

Wale ndugu zetu wa Buku 7 Project wameamua kumbebea Bango Mbowe kwa kumiliki kwake Nyumba ya Kifahari Dubai.
Hawa jamaa hawataki kabisa kuhoji kama Mbowe kama Mbowe ana uwezo wa kumiliki Nyumba hiyo ama la.
Cha ajabu zaid, Ndugu zetu hao wanasahau Kabisa kuwa hapa kwetu Tanzania (Shamba la Bibi) kuna wageni wanamiliki Majumba na vitega uchumi vingi kabisa.
Wanasahau kuwa kuna Mwarabu kule Loliondo kamilikishwa Ardhi ya wa Masai.
Hivi hawa Ndugu zetu nikiwaita wana akili za Misukule nitakuwa nimewatendea haki kweli jamii ya watu wenye akili za Misukule ???

Mkuu hatuna tatzo na umiliki wa mbowe jumba la kifahari kule dubai!!!tatzo nikwamba unapo tuhumiwa lazma utoke adharani ukanushe au ukubali,na umiliki wake wa jengo huko dubai hajawahi hata kuingiza kwny ile cijui ndo wanita fomu ya maadili ya viongoz wa umma,amebaki kimya tu,sasa hii ni waz kuwa anamiliki jumbz hilo,na hizo fedha alizo nunulia tafsir yake ni fedha ambazo si halali
 
Basi kuanzia sasa namuunga mkono Mbowe kuwa yeye ni tajiri wa kutupwa.
Anamiliki majumba ulaya.
Anamiliki mipesa nje ya nchi
Anauza madawa ya Kulevya na anamtandao mrefu hakamatwi
Amekula ruzuku na kuwafanya wenzake mazuzu.
Anataka atawale milele ili wizi wake usijulikane mapema na kipengele cha ukomo wa viongozi kilifutwa kinyemela.

Lakini huyuhuyu anajiita mnyonge,masikini anapohamasisha maandamano kumbe mwenzetu ana miji mingi nje ya nchi.
Basi namuunga mkono mbowe ngoja tuweleze wananchi huko vijijini kuwa anayewatetea ni fisadi kuliko Lowassa wa Monduli.

mkuu jitahidi unapo kwenda kwenye huo mkutano wa kuwaeleza wananchi ukae mkao wa kusepa ci unajuw ben sa nane mtoa roho za watu yupo karibu
 
Watu kama mbowe wanatakiwa chuma cha shaba na mafisadi wengine wote siyo watu wa kulea siyo watu wema wanaharibu taifa letu.
 
kweli mbowe kazidiwa,Kwa hili mbowe haruki linamuusu,xi unaona naye kapga kimya.waswahili wanasema hata ukimya ni jibu
 
Back
Top Bottom