Wakuu hii issue iliishaje tukumbushane kidogo!!
Msitake kutufanya matutusa. CCM wana watu gani wenye maadili? Kina Mwiguku? Kina nani? Kama Kikwete alibadili baraza mara ngapi na kwa nini? Acha uzushi. Tumeshachoka sie.kuna wanachama wengine wanatembea na sumu mifukoni!inabidi wabadilike kabisaa maana wana sera nzuri ila tabia zao ni chafu hazina mfano,wengi wao top leaders and mp's hawana maadili ya kuongoza nchi,i wonder watu wanawashangilia kumbe hawajui kushika dola kuna hitaji watu waadilifu ambao hiki chama wapo wachache sana
Niliipenda CHADEMA ya kipindi cha akina Chacha Wangwe lakini hii ya kikanda zaidi sina imani nayo maana iko kijasiliamali zaidi.
Kama Mbowe, ananunua nyumba Dubai halafu anaandamanisha watanzania ili kikinuka yeye fasta Dubai.
Huyu toka baba yake alikuwa tajiri na mmoja wa wafadhili wa TANU....na alikuwa na mali hadi njeMbowe kuwa na jumba Dubai amevunja sheria ipi ya nchi? Ukishuka Dubaio airport utakutana na matangazo ya nyumba za Donald Trump mfanyabiashara wa kimarekani anayegombea urais. Acha fikra za kimaskini
Mlimpeleka mahakama i na kumshtaki?Mbowe ni fisadi
Ndesaa pesaa alikuwa na hela kabla hata ya kuingia kwenye siasa. Inshort ukoo wao ni matajiri before siasa.MBOWE,NDESSAPESSA,MTEI are very gr8t political entrepreneurs.
Shetani anakuyumbisha sana. Ongeza bidii ya maombi, itakusaidia.Amen.Mbowe ni fisadi
Shetani anakuyumbisha sana. Ongeza bidii ya maombi, itakusaidia.Amen.
Wapi kuna tusi?Mbona unitukane ?