Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Wale wachambuzi wa kisiasa waliosema CHADEMA kwa sasa ndio chama makini cha siasa hapa Tanzania walikuwa sahihi 100%.
Naona ukombozi wa Tanzania unakaribia sana.
 
sema kajamaa katatuhalibia kura nyingi mkuu.

swissme

Wasikudanganye mkuu! Ule umati ulikuwa wa kutaka kumjua Yuda was kizazi hiki anafananaje? Hapa Mwanza wanasema walishangaa kijana kuwa mnafiki
 
Asanteni Makamanda Standalone na Crashwise kwa updates. Nakisikia kama na mie nipo kwenye mkutano.

Hakika wametufanyia kazi ya kutukuka.Hawajawa kama wapuuzi fulani ambao wao hurusha picha bila maelezo yoyote kana kwamba watu wote wako mkutanoni.

Standalone na Crashwise wameahidi updates zote kwenye ziara ya Mwenyekiti wanayefuatana naye.
 
Last edited by a moderator:
Karibu Kamanda....Tutaendelea Kukupa kila kinachojiri Kwenye Ziara ya Mwenyekiti.....

Chadema ni Mpango wa mungu...Huku watu wameamka sana...

Pamoja sana Kamanda Standalone.Tunakushukuru sana!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa bukoba juzi tu,ndio kitu pekee kichazungumziwa huko
 
Chadema kama askari wa mwavuli wakishuka kila mtu anashabulia upande wake

Sio chama kina kiongozi mmoja tu kama k
 
Safi sana kamanda Mbowe kwa kazi iliyotukuka sana daima tutakuamini na kazi yako haitafutika.

Nimesikitika sana hapo kuwa polisi inafanya kikao na vyama ambavyo ni vya kwenye briefcase pekee havifanyi hata mkutano 1 mmoja Kwa mwaka havina viongozi wa mitaa na vijiji, madiwani wala wabunge. Wanaacha kuongea na vyama vyenye ushawishi kama CHADEMA, CUF, NCCR hawa polisi nashindwa kuelewa lengo lao ni nini
 
Chadema kama askari wa mwavuli wakishuka kila mtu anashabulia upande wake

Sio chama kina kiongozi mmoja tu kama k

Magamba na Mchepuko wake watakaa mwaka huu , hakuna rangi wataacha kuiona .......
 
Leo msajili wa vyama kakaa na akina Dovutwa na Lyatonga , eti kujadili vikundi vya ulinzi kwenye vyama na kuweka azimio ,,,,,,,,
 
Wale waliomminya Kagenzi korodani zake ndiyo watasema walitumwa na nani.

Bibie , mbona unaandika habari za Haswaa wewe kila mara ? kama umezikosa niambie niko tayari .....kila post Haswaa za Kaghenzi ,,,,,,,,,
 
Bibie , mbona unaandika habari za Haswaa wewe kila mara ? kama umezikosa niambie niko tayari .....kila post Haswaa za Kaghenzi ,,,,,,,,,

Dogo hilo? bila "haswaa" ungekuwepo duniani?

Hashuo tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom