Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

mkuu Standalone sina cha kukulipa kwa wema wako wa kutuwekea ushahidi huu , namuomba Mungu akurudishie japo hizo MB zako ulizotumia .

Kwa kweli Standalone anatufanyia kazi nzuri sana ambaye yuko kwenye Msafara wa Mwenyekiti Nzega.
 
Last edited by a moderator:
+++Updates++++

IGP Mangu anasema atakaefundisha vijana tunamkama, nasemaMbowe wa kwanza aje anikamate
Vivyo vivyo hivyo wakikuta kijana wa Chadema anaiba kuku wamkamate
Siku ile tunapigwa mabomu Polisi hawakutoa msaada wowote,tukawapa damu kwa kukusanyana watu wa Chadema tukatoa damu kuwasaidia
Chadema tunasema Mutungi sio mlezi wetu, kazi ya siasa atuachiesisi wenyewe
Ukiona Chadema tumeamua kuijenga Red Brigade ujue tumeumia
Mkt anaendelea kusema kuwa yeye amepigwa bomu la kivita Arusha,na bomu lilirushwa na Polisi, wakapiga tena na mashine gun wakafariki wenginekwa niaba yangu
Leo nikizindua mpango huu leo kimefanyika kikao cha vyamavidogo vidogo ambavyo havina diwani, wabunge wala hata bendera

CCM vijana wao wanafundishwa kuiba kura na kushambuliawapinzani. Pamoja na yote vijana wanafundishwa kulinda kura.
Vijana wanafundishwa mchana kweupe sio kwa siri hata polisiwanashiriki, Takukuru na Usalama wa Taifa

Amewaasa vijana kuwa wakimkuta Kijana wa CCM anafanya kosa lajinai wawe wa kwanza kumkamata
Polisi nchi hii hawatoshi- hata hapa Ndala kituo kina polisiwanne tu

Mpango huu wa mafunzo wa FTP 200 unalenga kuwa na vijana200@Kata lwa ajili ya kujengwa kinidhamu na uzalendo pamoja na kupambana nauhalifu kama raia
Mutungi hawezi kuzuia mabadiliko kwa sheria isipokua anaweza kufanyahivyo kwa kuhakikisha haki inatendeka
Mutungi atuachie siasa yetu

Tulisema Bungeni, tukamwambia Rais kuwa waliorisha bomu niPolisi hivyo waunde Mahakama ya Corona. Chadema imekataa kuwapa ushahidi polisikwa sababu wamehusika
 
++++Updates+++
Kwa sasa tunatekeleza dhana ya Polisi Jamii kwa vitendo
Vijana waliokuwa Kambini wamefundishwa Uzalendo, Afya, Ulinzi Shirikishi, na wamepata semina kutoka kwa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa.

Kikao hicho kilihudhuriwa na mtu anaitwa Mtungi na IGP Mango
Mpango huu umezua hofu kwa sababu vijana hawa wamesambaa nchi nzima
CCM wanafanya kila mbinu kuisambaratisha Chadema, wanatumia Polisi, Msajili wa vyama, wanapiga propaganda za Red Brigade. Lakini hawatuondoi kwenye mstari

Kuhusu uchaguzi Mkuu: Serikali za Mitaa ziligubikwa na vurugu nyingi mpaka kufikia hatua ta kutangaza watu ambao sio washindi. Polisi na Usalama wa Taifa wanajua lakini hawakuchukua hatua yoyote
Mwaka huu ni wa Uchaguzi, nategemea mabadiliko makubwa kutoka Mkoa wa Tabora
Mutungi utafuta vikosi vya ulinzi kisheria lakini hutaondoa ari katika mioyo ya wanachadema
Mpaka sasa nina kesi 11 kwa hiyo IGP ajue siogopi kukamatwa hata kidogo. Kesi zote ni za uchochezi, je Mbowe nafanya kazi ya uchungaji ili nisiizungumze CCM na ufusadi wake?
Mwenyekiti Mbowe alimtaka Mwenyekiyi huyo wa kijiji kuonesha tofauti ya kiuongozi. Watende haki, bila rushwa na wala upendeleo.

Kabla ya Mwenyekiti kuhutubia alikaribishwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Uhemeli Kata ya Ndala anaetokana na Chadema. Kijiji hicho ambapo mkutano unafanyika kinaongozwa na Chadema kwa 98
 
Updates:
-Vijana waliokuwa Kambini wamefundishwa Uzalendo, Afya, Ulinzi Shirikishi, na wamepata semina kutoka kwa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa.
- Amewaasa vijana kuwa wakimkuta Kijana wa CCM anafanya kosa la jinai wawe wa kwanza kumkamata
-Mpango huu wa mafunzo wa FTP 200 unalenga kuwa na vijana 200@Kata lwa ajili ya kujengwa kinidhamu na uzalendo pamoja na kupambana na uhalifu kama raia
Vivyo vivyo hivyo wakikuta kijana wa Chadema anaiba kuku wamkamate
Mpango huu umezua hofu kwa sababu vijana hawa wamesambaa nchi nzima
- CCM vijana wao wanafundishwa kuiba kura na kushambulia wapinzani. Pamoja na yote vijana wanafundishwa kulinda kura.
- Kikao hicho kilihudhuriwa na mtu anaitwa Mtungi na IGP Mango
- Leo nikizindua mpango huu leo kimefanyika kikao cha vyama vidogo vidogo ambavyo havina diwani, wabunge wala hata bendera
- Chadema tunasema Mutungi sio mlezi wetu, kazi ya siasa atuachie sisi wenyewe
- Ukiona Chadema tumeamua kuijenga Red Brigade ujue tumeumia
- Mutungi atuachie siasa yetu
-Kwa sasa tunatekeleza dhana ya Polisi Jamii kwa vitendo
-Vijana wanafundishwa mchana kweupe sio kwa siri hata polisi wanashiriki, Takukuru na Usalama wa Taifa
- Mutungi hawezi kuzuia mabadiliko kwa sheria isipokua anaweza kufanya hivyo kwa kuhakikisha haki inatendeka
IGP Mangu anasema atakaefundisha vijana tunamkama, nasema Mbowe wa kwanza aje anikamate
- Mkt anaendelea kusema kuwa yeye amepigwa bomu la kivita Arusha, na bomu lilirushwa na Polisi, wakapiga tena na mashine gun wakafariki wengine kwa niaba yangu
- Polisi nchi hii hawatoshi- hata hapa Ndala kituo kina polisi wanne tu
- Tulisema Bungeni, tukamwambia Rais kuwa waliorisha bomu ni Polisi hivyo waunde Mahakama ya Corona. Chadema imekataa kuwapa ushahidi polisi kwa sababu wamehusika
- Siku ile tunapigwa mabomu Polisi hawakutoa msaada wowote, tukawapa damu kwa kukusanyana watu wa Chadema tukatoa damu kuwasaidia
 
Wakuu naomba kirefu cha hii kitu - FTP.
 
Asante kwa taarifa kamanda. Chadema inajengeja katika misingi imara. Sio chama cha masika, hakifuati upepo
 
Chadema tuacheni tupumzike na familia zetu. Mbona mnakuwa hivyo, ukigeuka huku ufisadi, huku kura ya maoni, huku Uchaguzi Mkuu, huku Zitto anaomba fund kwa Mwigulu. Huku People's power. Tuoneeni huruma jamani
 
Walilazimisha kura ya maoni tukawaambia hawawezi leo wameahirisha kura hiyo
CCM wanatamani uchaguzi usiwepo na pia hawataki kuwaandikisha wapiga kura. Ccmmtaogopa mpaka lini kuandikisha wapiga kura???
Tumebakiwa na miezi minne kuanza kampeni za Uchaguzi Mkuu. Kwa kuwa kama sheriaitafutwa tar 15 Aug ni tarehe ya kuanza kampeni
Tume imeshindwa kuandikisha wapiga kura na hakuna anaewajibika

Mwenyekiti Mbowe alimtaka Mwenyekiyi huyo wa kijiji kuonesha tofauti yakiuongozi. Watende haki, bila rushwa na wala upendeleo.
Mwenyekiti kabla ya hotuba yake alizindua mpango wa FTP 200 ambao ni mpango wakuwa na Red Brigade nchi nzima na kwa kila Kata
Kiongozi yeyote wa kisiasa ni lazima achaguliwe na wananchi sio uteuzi

Chadema tunasimamia sera ya Majimbo ambayo inasema kuwa itakua marufuku kwakiongozi wa kisiasa kukamata mamlaka ya kiserikali kama hajachaguliwa nawananchi. Lengo lake ni kuzuia wimbi la uteuzi ambao hautokani na wananchiwakiwemo wakuu wa Wilaya na Wakuu wa Mikoa
Chadema hatuwezi kukubali vyeo vya kuteuliwa leo kama mashindano ya miss Bantu
Tunazungumza uchaguzi mkuu mwaka huu lakini hatujui kama utakuwepo kwa kuwa kwamiezi minne Tume haijamaliza hata Mkoa Mmoja wa Njombe
Suala hilo liliwekwa vizuri na Tume ya Katiba lakini wakachakachua

Tunawasubiri Oktoba, sisi Chadema hatulali na tumesambaa nchi nzima.Kitaeleweka tu
Na hakuna kiongozi anaeweza kumwajibisha yeyote.
Kuna udhaifu na ufisadi mkubwa katika nchi hii na waathirika wakubwa niwananchi. Wizi wa Escrow ni tone kwenye ufisadi ambao unafanyika katika sektambalimbali nchini
Mwenyekiti aliwataka viongozi wa Chadema kuungana na wenzao wa Ukawa kwa kuwa Cufau Nccr sio adui wa Chadema zaidi ya CCM
 
Mwaka wa mabadiliko, uwe unapenda ama hupendi , hii ni gharika itakuzoa tuu...........jaribuni kuizuia kwa viroba vya mchanga .......ACT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom