Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Zitto anawatoa watu ofisini. Safi sana ACT endeleeni kukaza hivyo hivyo.
Zitto akiumwa kunakuwa hamna chama hapo tofauti na CDM ambayo Dr akiumwa wakina lissu Mnyika Mbowe na wengine wengi wanashambulia jukwaa kama nyuki
Labda zitto akiumwa mtamtumia afande sele
 
Hongera CDM!nashaur Doitwa(diwani Ar)ashirkshwe mikoan ili kuongeza nguvu
 
Zitto akiumwa kunakuwa hamna chama hapo tofauti na CDM ambayo Dr akiumwa wakina lissu Mnyika Mbowe na wengine wengi wanashambulia jukwaa kama nyuki
Labda zitto akiumwa mtamtumia afande sele

Afande Sele mcheza uchi?
 
Mwenyekiti wa Chama Taifa ameanza ziara ya siku 6 mikoani ukiwa ni mwendelezo wa uzinduzi wa programu ya FTP maalum kwa ajili ya mafunzo ya uzalendo kwa vijana ikiwa ni mwendelezo wa shughuli ambayo amekuwa akiifanya tangu Januari.

ataanzia Nzega ambapo atazindua FTP eneo la Ndala kisha atafanya mkutano wa hadhara hapo hapo Ndala. Kesho atakuwa Itilima-Bariadi, kesho kutwa atakuwa Ukerewe, siku inayofuata atakuwa Bukoba Mjini kisha Kyerwa. Kote huko atafanya uzinduzi wa FTP asubuhi na jioni mikutano ya hadhara katika maeneo husika. Maeneo yote hayo Jeshi la Polisi limealikwa kutoa elimu ya ulinzi shirikishi na polisi jamii.

TAKUKURU nao wamealikwa kutoa elimu ya kupambana na kuzuia rushwa hasa wakati wa uchaguzi. Kuhusu programu ya uzinduzi wa mafunzo ya kukiandaa chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali; Makamu Mkiti Taifa (B), Prof. Safari atakuwa Korogwe Mjini ambapo atazindua mafunzo hayo kwa viongozi wa Korogwe mjini na Vijijini kisha jioni atakuwa na mkutano wa hadhara Korogwe Mjini. NKMB Mnyika atazindua mafunzo Bariadi kisha atakuwa na mkutano wa hadhara saa 5/6 hapo Bariadi kisha atakuwa na mkutano mwingine wa hadhara Maswa jioni ya leo.

Kwa upande wa NKMZ Salum Mwalimu yeye atazindua mafunzo mji wa Mbalizi Mbeya kisha atakwenda kufanya mkutano wa hadhara Njombe mjini leo jioni. Maeneo yote hayo chombo chako kimealikwa. Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa ushirikiano wenu na wewe binafsi.

Makene.
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20150422-WA0064.jpg
    IMG-20150422-WA0064.jpg
    139.6 KB · Views: 291
Live Update Mkutano wa Mwenyekiti Taifa Kijiji cha Uhemeli Kati, Kata ya Ndala katika Jimbo la Nzega. Mkutano huu ulitanguliwa na uzinduzi wa programu ya FTP 200 ambayo lengo lake ni kuwa na Red Brigade 200 kwa kila Kata nchi Nzima
 
siasa ni mikakati mizito na endelevu , ilipofikia cdm sasa ni wazi kabisa kwamba inaenda kutwaa dola na kurudisha heshima ya nchi .
 
More updates
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 1429713228196.jpg
    1429713228196.jpg
    78.6 KB · Views: 266
  • 1429713243007.jpg
    1429713243007.jpg
    109.7 KB · Views: 259
  • 1429713258415.jpg
    1429713258415.jpg
    82.6 KB · Views: 255
Mkutano unaendelea hapa Vzur...Bado. Mbowe hajapanda jukwaami....
attachment.php
 

Attachments

  • 1429713548619.jpg
    1429713548619.jpg
    87.2 KB · Views: 3,403

Similar Discussions

Back
Top Bottom