Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Mollemo;
Hutapungukiwa na kitu ukiandika hivi; Mh. Freeman Mbowe, Mh. John Mnyika etc. Hiyo ndiyo title yake wala kutokumpa hiyo heshima haitampunguza.
Ana uwezo kikatiba kabisa kugombea urais na akipita atakuongoza tu. Samahan sana lakini ikiwa nimekukwaza ka jinsi ninavyo faham wapo kina MSALANI na yule bi msokoto wa FaizaFoxy hao ni haki yao wachukie kabisa na hiki chama kikishika utamu sijui watajinyongea wapi tu
 
sema kajamaa katatuhalibia kura nyingi mkuu.

swissme

Mkuu swiss me wala usijali hata alipokuwa cdm bado kura nyingi ziliharibiwa na tume isiyo huru ya uchaguzi. Usiogope kwenda kuvuna shamba ulilolima kwa kuwa lina nyoka. Ndio changamoto zenyewe. Kama ni kupotea kwa kura kumbuka hata sisi cdm tuli/tume/tutachukua za vyama vingine na wale wasio na vyama. Hakuna guarantee hata kama jamaa angekuwa kwetu kwani changamoto ni nyingi. Huoni ukiachia jamaa hata uandikishaji kwa njia ya BVR bado una mizengwe. Huoni hata kama angekuwa cdm bado kuna mambo mengi yanamapungufu. Nadhani umeona NEC imetangaza uchaguzi mkuu utafanyika siku moja na kura ya maoni, huoni hapo bado ni full mkanganyiko. Maji tumeshayavulia nguo hatuna budi kuyaoga, ukumbuke ukiamua kukata mbuyu kwa shoka utaanguka lakini baada ya muda. So hofu toa kwani changamoto ni sehemu ya maisha na lazima upambane ili kufanikiwa na kumbuka hakuna mafanikio marahisi dunia hii, na ukiona umefanikiwa kirahisi basi hata mafanikio hayo hudumu kwa shida.
 
Hicho wanachosema kugawa kura za CDM itakula kwa CCM na ndio mwisho wa CCM na makuwadi wao! kama miezi kadhaa utaona minyukano live ndani ya CCM. walizuia CCJ lakini wameachia mlango mwingine!
 
mwenyekiti wa chama taifa freeman mbowe ameanza ziara ya siku 6 mikoani ukiwa ni mwendelezo wa uzinduzi wa programu ya ftp maalum kwa ajili ya mafunzo ya uzalendo kwa vijana ikiwa ni mwendelezo wa shughuli ambayo amekuwa akiifanya tangu januari.

Leo ataanzia nzega ambapo atazindua ftp eneo la ndala kisha atafanya mkutano wa hadhara hapo hapo ndala.

Kiongozi huyo wa kambi ya upinzani bungeni kesho atakuwa itilima-bariadi, keshokutwa atakuwa ukerewe, siku inayofuata atakuwa bukoba mjini kisha kyerwa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyothibitishwa na msemaji mkuu wa chama tumaini makene inasema kote huko mwenyekiti huyo atafanya uzinduzi wa ftp asubuhi na jioni mikutano ya hadhara katika maeneo husika.

Maeneo yote hayo jeshi la polisi limealikwa kutoa elimu ya ulinzit shirikishi na polisi jamii. Takukuru nao wamealikwa kutoa elimu ya kupambana na kuzuia rushwa hasa wakati wa uchaguzi. Kuhusu programu ya uzinduzi wa mafunzo ya kukiandaa chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali.

Makamu mkiti taifa (b), prof. Safari atakuwa korogwe mjini ambapo atazindua mafunzo hayo kwa viongozi wa korogwe mjini na vijijini kisha jioni atakuwa na mkutano wa hadhara korogwe mjini.

Nkmb mnyika atazindua mafunzo bariadi kisha atakuwa na mkutano wa hadhara saa 5/6 hapo bariadi kisha atakuwa na mkutano mwingine wa hadhara maswa jioni ya leo.

Kwa upande wa nkmz salum mwalimu yeye atazindua mafunzo mji wa mbalizi mbeya kisha atakwenda kufanya mkutano wa hadhara njombe mjini leo jioni.

dogo janja ''mnyika '' kaharibu pilau , baba mwenye nyumba anakurupuka.

Njoo umuokae mnyika; kashindwa kutoka kanda ya ziwa aibuu tupu.

Njooo uchukue zigo lako nyika huku; halina jipya
 
Nasikia eti wenye CCm yao wanamwandaa kimya kimya Hussein Mwinyi kuchukua kigoda cha Magogoni? Ya ukweli hayo?

kumbe porojo hizi za kweli kuwa this time around wagombea wa ccm watachaguliwa genetically, ya sokoine, nyerere kumbe nyingine ni mwinyi, why not karume?
 
Bora ata ungeanzia kanda ya ziwa uchukue zigo lako mnyika , mpaka mizimu ya baba wa taifa hailitaki
 
Teh Teh hakika Zitto akiunguruma hakuna anaye kaa kabisa!
 
Huu ni moto hauzimiki baado tunaendelea subirini maumivu

Mkuu achana na huyo jamaa, anatoa lugha chafu na wala hana hoja. watu kama hao ni wale wanaochangia kwenye post za Zitto kama mara 70 hivi na ndio wale waliolipwa na ccm kuhakikisha wanaharibu haiba ya cdm kwa kuifanya ACT ionekane ni chama kinachoibomoa cdm. Kama angekuwa na hoja hapo sawa ila kwa jinsi anavyoporomosha matusi watu wanaweza kukuchanganya na yeye. Kuna uzi humu watu wamewaomba wanacdm, viongozi na wanachama wake kutokuchangia kwenye mada zinazomuhusu Zitto kwani kule hakuna hoja bali ni ushindani wa kitoto na matusi na kashfa huku sumu ya udini, ukabila na ukanda ukitamalaki. Mpotezee, mwache akuprovoke wewe mpe shit, na watu wote tukifanya hivi utaona baada ya wiki watapoteana.
 
DSC_0467.JPG
 
Hicho wanachosema kugawa kura za CDM itakula kwa CCM na ndio mwisho wa CCM na makuwadi wao! kama miezi kadhaa utaona minyukano live ndani ya CCM. walizuia CCJ lakini wameachia mlango mwingine!

Your absolutely right, na wapenzi na wanachama wa cdm naona kama hawajalijua hilo. Kwa sehemu kubwa Zitto anajiuza kwa brand ya cdm ila wanaccm wanajaribu kufanya kwamba ni hatari kwa cdm ili wapate ahueni. Lakini kimsingi pindi cdm watakapoanza mikutano nchi nzima utaona kiwewe kitakachowakuta ccm. Ni nani asiyejua bidhaa mpya ikiingia sokoni ni lazima itangazwe sana na hata wakati mwingine hutolewa bure ama kwa bei ya chini? Ila ukweli unabaki palepale bidhaa bora ndio hudumu sokono. Sisi cdm ni bidhaa bora inabidi tukubaliane na bidhaa mpya japo inatangazwa sana lakini ushindani halisi sio siku za mwanzo bali ni kadiri muda utakavyosonga hapo ndio shughuli ipo. Nadhani hiyo bidhaa mpya haina watu wengi wa kupambana na taasisi kama cdm na imejengwa kwenye nguzo moja, pindi itakapokuwa ni kushambulia nchi nzima utaona hiyo raha yake.
 
Na ukumbuke kuwa hiyo ijayo ni UKAWA! tumaini letu!! ha ha ha ah !!
 
dogo janja ''mnyika '' kaharibu pilau , baba mwenye nyumba anakurupuka.

Njoo umuokae mnyika; kashindwa kutoka kanda ya ziwa aibuu tupu.

Njooo uchukue zigo lako nyika huku; halina jipya

Hii ndio raha ya demokrasia sasa. watu walikuwa wanashinda kwenye post za Zitto, taratibu wataanza kujisogeza kwenye eneo lao rasmi. Hapo sasa ndio ACT itatakiwa kuonyesha msuli wake. Kumbuka kile chama ccm kiko pembeni chenyewe hakina hoja kinangoja siasa za majitaka tu lakini wanachama ndio hivyo wanaangalia penye hoja. Ndugu zangu ACT wala msiwe na shaka, kwani mtakapoanza kugawanyika nchi nzima ndio hapo mtajua uungwaji mkono wenu kwa wananchi kwani Zitto ndio anavuta watu kutokana bado ana brand ya cdm. Ngoma itanoga hapo watu wenye mvuto watakapoanza kugawanyika kwenda kumwaga sera. Kaka yangu wa ACT nakupa changamoto leo andamaneni na Zitto lakini pindi mtakapogawanyika ni nani kati yenu atakayekuwa na mvuto huko kwa wananchi hapo ndio patakuwa patamu. Usisahau atakapokuwa Zitto ndio hela itakuwa nyingi, kwa jinsi ninavyojua kuna watu huko ndani yenu wamefuata ulaji wakiona hakuna hapo ndio utajua siasa ni nini. Itapigwa fitina humo mpaka hamtaamini kwani kuna watu wamekuja ACT wakifikiri ni chama cha malaika hivyo kila watakachokitaka ni lazima wakipate. Hapo sipati picha. Kama ni safari sasa ndio inaanza hicho kinachoendelea kwa sasa ni trela, picha halisi itaanza soon
 
Daaaaa kwa kweli had raha asante cdm now mmeifany siku yangu kuimaliza kwa furaha Sana twende zetu kulikomboa taifa
 
Mabadiliko yatawezekana 2015, elimu ya uraia iendelee kutolewa. Cuf, nld na nccr waongeze cheche pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom