Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Zitto anawatoa watu ofisini. Safi sana ACT endeleeni kukaza hivyo hivyo.
Hatuangaiki na hao maana Tayari chadema nimpango wa Mungu
Zitto anawatoa watu ofisini. Safi sana ACT endeleeni kukaza hivyo hivyo.
Twende kazi.Tulianza na Mungu Tutamaliza na Mungu.Mungu akulinde kamanda
swissme
hizo safar zitagharimu kias gan?
Kaza kamba tuiteke nchi, mwaka huu ikulu njia ni nyeupe.
We kiazi cdm ina ruzuku,wafadhili wa ndani na nje ambao wanafahamika hata kwa cag.sio hako kachama kenu kanakofadhiliwa na kina mwigulu na el
Nyie ndio wale mliosema Chadema inakufa baadala yake nyie ndio mnatangulia mstuni bila fimboMUNGU hapendi zinaa slaa anazin kila sku,MUNGU hapendi wizi mbowe na lema wanaiba had vitu vyao,MUNGU hapendi mtu kuropoka hii ndio sifa kuu ya lissu na mnyika,MUNGU hapendi unafki wakat msigwa ni no moko,usimtumie muumba wa mbingu na ardhi kwenye upuuz wenu,labda kama unamzungumzia lucifa
Uko sawa hako kaha kafala sana.fu.c.k ayatulaah!
ikulu ya machame/rombo/hai/moshi au wap hebu fafanua mangi
Zitto anawatoa watu ofisini. Safi sana ACT endeleeni kukaza hivyo hivyo.
Mbowe ameona ACT wazalendo inazamisha jahazi la Chadema, Mbowe hana uwezo wa kupambana kwa hoja na Zitto,
Wewe umemumunya ugoroumetumia kiroba original au mbege tu