Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Freeman Mbowe aanza ziara ya siku 6 Mikoani

Hapo sasa ndio Utajua uwezi pambana na taasisi....Mwenyekiti Kule, Naibu katibu kule,Naibu mwenyekiti kule.....Yaan nchi nzima Elimu ya Ukombozi......Hatuwezi kwenda pamoja kama wazee wa mbio za mwenge.......

Hii ndio chadema bwana,,,Asante molemo najua uko Jikoni...Utusaidie Updates..

Umeniwahi mkuu , umesema nilichotaka kusema . kula like zaaaangu
 
Ndo uzuri wa chadema, wanatwanga nyuma mbele, yaani kotekote tofauti na ACT, asipokuwepo Ayatola hakuna mtu mkutanoni..!
 
Mkuu nashukuru kwa kideo hiki, huyu nuru ya chama ni vyema akachukua tahadhari sana hasa mifano anayotoa, na kuelewa anadeal na hadhira ya namana gani, naona watu walianza kumzomea hapo, na bila shaka mkutano hakuendelea vizuri... Kama anakwenda kuhubiri sera nadhani ajikite huko, la sivyo kunamaeneo huenda hatamaliza salama, eneo kama mbeya na arusha, achunge sana. Ni vyema sasa naye akajua kuwa kumbe kueneneza chama si jamabo dogo na rahisi, hivyo anaweza feel pinch ni namana gani ukishindwa kwenda tune moja na wenzako ni kwa vipi wanakwazika. Na kwa sasa act haina limit ya kupokea watu asidhani ccm iko tu inamuangalia kuna watu watapandikizwa humo kukidhuru chama mbeleni ambacho bado kinaonekana kama ni one man show.... Kila lakheri..............


mwenyekiti atafika kwenye hili eneo alilozomewa ayatola?
 
Last edited by a moderator:
Dhambi ya usaliti ni sawa na virusi vya ukimwi mpaka flash damu. Vivo hivyo ukombozi wa kisiasa lazima msaliti Zzk aondolewe ktk siasa.....
Siku zake huyo msaliti zinahesabika
 
Kwa strategy hii mnawafanya viongozi wa CCM na makada wao watembele chu..pi zikiwa zimelowana muda wote. Mkizidisha mashambulizi mwaka huu mtasababisha vifo vingi vitokanavyo na pressure.


Mwenyekiti wa Chama Taifa Freeman Mbowe ameanza ziara ya siku 6 mikoani ukiwa ni mwendelezo wa uzinduzi wa programu ya FTP maalum kwa ajili ya mafunzo ya uzalendo kwa vijana ikiwa ni mwendelezo wa shughuli ambayo amekuwa akiifanya tangu Januari.

Leo ataanzia Nzega ambapo atazindua FTP eneo la Ndala kisha atafanya mkutano wa hadhara hapo hapo Ndala.

Kiongozi huyo wa Kambi ya upinzani bungeni kesho atakuwa Itilima-Bariadi, keshokutwa atakuwa Ukerewe, siku inayofuata atakuwa Bukoba Mjini kisha Kyerwa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyothibitishwa na msemaji mkuu wa chama Tumaini Makene inasema kote huko Mwenyekiti huyo atafanya uzinduzi wa FTP asubuhi na jioni mikutano ya hadhara katika maeneo husika.

Maeneo yote hayo Jeshi la Polisi limealikwa kutoa elimu ya ulinzit shirikishi na polisi jamii. TAKUKURU nao wamealikwa kutoa elimu ya kupambana na kuzuia rushwa hasa wakati wa uchaguzi. Kuhusu programu ya uzinduzi wa mafunzo ya kukiandaa chama kwenda kushinda dola na kuongoza serikali.

Makamu Mkiti Taifa (B), Prof. Safari atakuwa Korogwe Mjini ambapo atazindua mafunzo hayo kwa viongozi wa Korogwe mjini na Vijijini kisha jioni atakuwa na mkutano wa hadhara Korogwe Mjini.

NKMB Mnyika atazindua mafunzo Bariadi kisha atakuwa na mkutano wa hadhara saa 5/6 hapo Bariadi kisha atakuwa na mkutano mwingine wa hadhara Maswa jioni ya leo.

Kwa upande wa NKMZ Salum Mwalimu yeye atazindua mafunzo mji wa Mbalizi Mbeya kisha atakwenda kufanya mkutano wa hadhara Njombe mjini leo jioni.
 
MUNGU hapendi zinaa slaa anazin kila sku,MUNGU hapendi wizi mbowe na lema wanaiba had vitu vyao,MUNGU hapendi mtu kuropoka hii ndio sifa kuu ya lissu na mnyika,MUNGU hapendi unafki wakat msigwa ni no moko,usimtumie muumba wa mbingu na ardhi kwenye upuuz wenu,labda kama unamzungumzia lucifa

Tulia nasma
 
Makamanda pia msisahau online m4c,wapigie ndugu zako simu na kuwajulisha kuhusu kujiandikisha na kuwapigia kura ukawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom