Freeman Aikaeli Mbowe: Mzalendo namba moja Tanzania

Freeman Aikaeli Mbowe: Mzalendo namba moja Tanzania

Mbowe aka kamanda wa anga. Mmoja kati ya wanasiasa ninaowakubali sana katika hii dunia
 
Siku akifika bei huyu jamaa, naacha kufatilia siasa za Bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa tuhuma zile za Waitara ambazo mpaka sasa hazijapingwa kwa data zozote anafikaje bei. Ule mzigo unatosha kutulia alipo. Million 50 kila mwezi za kulipwa na chama deni hewa na million 60 za dili ya shemeji yake ya mabango kila mwezi. Nasisitiza kama tuhuma ni kweli.
 
Mtoa tuhuma Waitara [emoji23][emoji23][emoji23]?
Umeshawahi kupata demu mpya ila akawa anamsifia bwana wake wa zamani?! [emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaiba ruzuku inayotolewa na serikali ambayo hesabu sake zinakaguliwa na CAG na kujadiliwa na bunge na hatua kuchukuliwa na DPP wa serikali kumfungulia mashtaka kila mwizi.
Kwa nini tusiite hiyo serikali mdebwedo isiyoweza kuchukua hatua? Kama hakuna wizi huo na serikali imepuuza kwa nini wewe USSR tusikuite mpumbaf na mzushi uliyekubuhu kwa uongo na kusingizia watu mambo ya uzushi?
Mnadhani mnammaliza Mbowe kumbe wenye akili ni wengi na wameujua ukweli uko wapi!
Hebu nendeni huko KIA mkapokee watalii wa "kufikirika" mtuondolee kiwingu sie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom