Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,733
Huyu mtu ashachafuka;hasafishiki.
Nadhani kwisha kwake ndiyo kutaifanya sh ya tanzania iwe juu ya dola ya kimarekaniAweke akiba maana habari yake inaisha mwaka huu
Naunga mkono hoja
P
Naona unajikomba viti maalumu nawe unaitaka nafasi ila kuna madhila yake lazima upewe kazi ya kulima bustan uchume mboga na uwalishe viboga vitamu viongozi wote je upo tayari!
Ushamfukuza jukwaani hapo1.5 tril
Profesa Asad.
Naam! Hakika! MUNGU amjaalie maisha marefu yenye baraka tele, watesi wake waumie
Ww madam nakuheshimu ila unakoelekea Sasa...... Utaniudhi na post zako ntakuwa sisomi..... Toka lini mbowe akawa mzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona wivu nafasi inakwenda kuzibwa!Kumbe hiyo ndiyo kazi yako kwa sasa?
In God we Trust
Waitara na lijuakali ndio wenye faili lenu!
Kama akina jokate, kairuki sio wamebong'oa ndio wakapata huo uongozNaona unajikomba viti maalumu nawe unaitaka nafasi ila kuna madhila yake lazima upewe kazi ya kulima bustan uchume mboga na uwalishe viboga vitamu viongozi wote je upo tayari!
Kwani inakutia ulemavu au wana mapya kutoka kwenye boksi!
Kwani dollar ya marekani kua juu ya shilling hujui sababu ni nini?Nadhani kwisha kwake ndiyo kutaifanya sh ya tanzania iwe juu ya dola ya kimarekani
In God we Trust