crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,860
- 2,957
CAG report inatumika kama chaka la kujificha tu. Kama genge la kamati kuu likiwekwa sawa wakakaa kikao, wakasaini mahudhurio kukubali deni feki na kuridhia kulipwa, hapo hati safi mbona inatoka.Tunaheshimu ripoti ya CAG mengine ni majungu
Again, mimi sisemi hii tuhuma ni ya kweli, bali ilitakiwa kujibiwa kwa data.