Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,316
Wewe bei yako ni kofia na T-shirt za lumumba
In God we Trust
Bei yako raisi sana!
In God we Trust
Bei yako raisi sana!
Soma hiyoUzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni majibu mepesi kwa maswali magumu. Majibu yenye data za kupinga yangefaa zaidi na sio wasifu wa mtuhumu.Mtoa tuhuma Waitara [emoji23][emoji23][emoji23]?
Umeshawahi kupata demu mpya ila akawa anamsifia bwana wake wa zamani?! [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge mtarajiwa jiandae na makato ya mwezi kujenga chama 😎
Naijua katiba ya chama vizuriMbunge mtarajiwa jiandae na makato ya mwezi kujenga chama 😎
Kama mtu anaweza akaiba na serikali ya CCM imeshindwa kuchukua hatua za kisheria, Basi dhahiri hiyo serikali ni corrupt na haifai kabisa.Uzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukijisikia kulia na kulalamika karibu tu JF maana ndio bega la kulilia.Naijua katiba ya chama vizuri
You have to pay 💰 I’m not teaching for freeSijui labda wewe unayejua tueleweshe
In God we Trust
Huyu kwakweli ndio anahitajika kututoa kutoka katika hili shimo la awamu ya 5.Uzalendo wa kutapeli watu pesa na kuiba ruzuku .alivyomchafu hata mtumie sabuni gani hasafishiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ngapi chadema wamekutwa na hati chafu?Tunaheshimu ripoti ya CAG mengine ni majungu
Ni sawa na kusafisha uchafu wa 100% kwa sabuni.Huyu mtu ashachafuka;hasafishiki.