Point 40 zitakazokusaidia ufanikiwe haraka kwenye freelancing

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,254
2,910
Point 40 zitakazokusaidia ufanikiwe haraka kwenye freelancing.

Zote ni muhimu sana, Ukuzingatia
Ni rahisi sana kupata maokoto yako

1. Chagua niche (industry) ambayo ina demand kubwa ya wataalam na ushindani wake ni mdogo sana

Mfano AI, Blockchain, renewable energy, real estate etc

2. Jitahidi mambo yote unayofanya yaonekane Google search engine, Social media, portfolio, website.

Hakikisha Mtu akiingia online ajue huduma flani naipata kwa mtu flani

3. Jenga network kubwa na freelancer wengine pamoja na clients.

Epuka kujitenga na wadau wengine

4. Portfolio ni muhimu kuliko CV,
Hakikisha portfolio yako imeshiba

5. Freelancing ni kama bishara, ukizingua kidogo unapoteza wateja wako, unafungiwa accounts, unakuwa suspended kila sehemu.

Take it serious

6. Hakikisha una Over-deliver
Ukipata kazi ifanye iwe bora zaidi

Hii inakusaidia clients wakunganganie

7. Nenda na trend, ongeza skills mpya kila siku, update uwezo wako, kubali kufundishika.

Freelancing sio kazi ya kudumu ukizubaa unaachwa na new trends

8. Customer service ni muhimu sana, ukimuhudumia vizuri client, atarudi tu

9. Tambua thamani yako,
Kuwa na bei zinazoeleweka, usiogope kutaja bei freelancing ni biashara ya kuuza muda na ujuzi wako
20240127_172726.jpg


10. Jifunze kutengeneza offer (offer creation) itakayomfanya client aridhike kukulipa

Negotiation skills ni muhimu

11. Wazungu na muda ni kitu wanaheshimu sana sana

Kuwa muwazi kuhusu muda wako
Full time au part time

Kuwa online muda wote wa kazi

12. Invest where you make money
Invest kwenye kozi ili uive zaidi

Hata kama unajua sana, lipia kozi za watu wakubwa itakusaidia sana

13. Diversify
Usipende kujifunga kwenye ujuzi mmoja

By the way, client anapenda mtu ambaye ni multskilled.

Make sure unajua skills zinazoendana na unachokifanya

Specifications is for insect

14. Tumia freelancing platforms
Kupata clients wapya ila hakikisha ukipata client unaishi naye

Kwa sasa tunashauri
Fiverr na Upwork

15. Ukipata client jitahidi upate mawasiliano yake nje ya freelancing platforms

Napendelea WhatsApp

Usisahau kuomba referral kwa rafiki zake

16. Kusanya testimonials, reviews, na kazi zako

Zitumie kufanya marketing ya skills zako
IMG_20240127_173115.jpg

17. Jifunze projects management, Tools muhimu za kutumia.

Offcose unafanya kazi na mtu yupo US lazima ujue tools za muhimu

18. Tengeneza personal brand
Kitu pekee cha uhakika online ni kuwa na brand yako ikaaminika
Iwe social media
WhatsApp

Brand yourself

19. Utafute kazi online, Usisubiri zikutafute

Jitangaze, tuma proposal, tuma dm, tuma email.

There is always another client waiting for you

20. Trend ya soko ni kitu cha muhimu sana

Bei zako ziendane na soko

Ukiwa na kazi nyingi pandisha bei
Ukiwa na kazi chache shusha bei

21. Usikose passive income za pembeni

Wewe ni mtaalamu, umesoma skills kibao,

Kuna watu wengi wanatamani uwafundishe hicho unachokifanya

Uza eBook, uza course, findisha
Do this for funny

22. Usisahau kufanya marketing ya kazi zako

Sambaza sana portfolio

23. Clients retention
Sio rahisi kupata client mpya

Lakini huyu uliyenaye sasa hakikisha kesho anarudi

24. Jiunge na freelancing communities

Huwa kuna mambo mengi ya kujifunza kule

Hasa updates mpya na tricks za kupata clients

25. Kama nilivyosema
invest where you make money

Vifaa kama pc, simu, Internet, meza ya kazi, home office, website

Ni investments muhimu sana kwa freelancer

26. Discipline ya kazi ni muhimu sana

Ukipanga meeting na client kuwa on time

Ukipangiwa kazi ifanye kwa wakati

Kuwa freelancer au full time online kuna maisha inabidi uachane nayo

27. Amini unachokifanya
Kuwa consistency

Wanasema Success in Freelancing comes with time and dedication

More freelancing tips on WhatsApp


No one will tell you this
 
Mkuu umetoa somo zuri sana hasa kwa wale ambao wanataka kuwa self-mployed maana wengi kidogo hawapo exposed na haya mambo. Pongezi sana kwa hilo ila kuna ukweli ambao hatutaki kuambizana nadhani baadae ndio unafanya watu wanakata tamaa mapema.

Kusema unatengeneza maokoto kirahisi sio kweli. Pesa inakuja baadae sana sema ikianza kuja ndo utaenjoy ila mpaka uanze kutengeneza pesa sio rahisi sana inahitajika mtu sometime kufanya kazi sana ili uonekane na kuaminiwa ili upate kazi.

Hivyo kwenye freelancing lengo la kwanza lisiwe pesa bali kutengeneza jina (personal brand) ambalo ndilo litakuletea pesa baadae.


Nb
Shukrani kwa somo zuri mkuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom