Raphael Mtui
Senior Member
- Nov 26, 2024
- 141
- 315
Naomba ufafanue namba saba, why ulipata pesa but ukapoteza pesa.Kwa uzoefu wangu ya miaka mitatu,
1. Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 400
2. Nimetumia platform zote za freelancing
3. Nimefanya kazi zaidi ya masaa 10,000
4. Nimetengeneza chain ya clients wa kudumu
5. Nafahamiana na kila freelancer hapa Tz
6. Nimejifunza skills zaidi ya 20
7. Nimepata pesa nikapoteza pesa
8. Nimefanya kazi na clients wa dunia nzima
9. Nimekuwa top-rated
10. Usitegemee kuona mtu anakufata kukwambia fursa mkononi hata kama ni ndugu yako
11. Watu ni wabinafsi sana usipojiongeza wanaendelea kupiga pesa kimya kimya
12. Online kuna pesa nyingi sana
13. Ukilipwa kwa dola ni rahisi kutoboa kuliko anayelipwa kwa tsh
14. Wenzetu wamezoea kufanya kila kitu online
15. Freelancing sio skill ni business model
Unaweza kufanya freelancing ukiwa chuo, shule, kazini, nyumbani, jobless, full time
Uliza swali lolote kuhusu Freelancing nitakujibu hapo chini
View attachment 3326637
Freelancing inakuwa tamu sana ukiangalia zile tenda, ila kuzipata sasa!!!
Kama kule Upwork eti kuomba kazi kwa mteja ni mpaka ulipe ada kwa ipwork kwanza ndio button ya apply ifunguke uombe kazi.
Upate usipate, ushawalipa Upwork.
Anyway, naomba share na sisi kuhusu kupoteza hela kwako.
Kuna mdau hapo juu kauliza.maswali mengi kuhusu Online Freelancing, naomba uyajibu watu tujue kiundani kuhusu haya masuala, huenda watu wakatengeneza pesa online, hata kama ni kidogo.