Nimeona aisee changamoto niliyogundua wengi hatuyajui machimbo na team hatuzijui pia.Kwangu ni odds za mbuzi.
Nataka
sheremaya uone mfano wa kusaka odd 2 sasa hapo ukizidsha n odd 5 na ukiwa vzr una uhakika wa kupiga odd 5 kila siku
Ki adje mkuuMna vipengele kweli
Code za ku share watu wanakuwa na janaba mara paa mikeka lost.Nimeona aisee changamoto niliyogundua wengi hatuyajui machimbo na team hatuzijui pia.
Ndio maana Huwa tunapenda sana kuomba code😄
Sawa naamini itaenda vizuriCode za ku share watu wanakuwa na janaba mara paa mikeka lost.
NItajaribu week hii kukupa code inbox week nzima mfululizo nikiona naendelea kukamua basi itakuwa endelevu ila kama ikiwa lost nitasitisha.
Andaa apps 4.
Sportbet
Xbet
Helabet
Betpawa
Pole sana, niliwahi kusikia ila sikuamini
Kwenye kutoa pesa utata sijui hata wanaoitumia wanatoaje pesa zaoSana wanachezesha mikeka.
Jamaaa alizingua sanaKiwa makini mkuu sukari hiyo isipande 🤣🤣
Kwani uliiweka Hela kiasi Gani 🤣Jamaaa alizingua sana
Bora umesema haubeti, betting sio rahisi kabisa kwa vitendo. ukiingia ndio utaona maajabuHizi odds za 1.5 sijui 1.8 ni rahisi sana yeyote anaweza kutabiri,mfano unaona kabisa kuna mechi haiwezi kufika magoli 6 unaweka tu under 4.5 unapata zako odds 1.3 unatembea..odds za maana za kusema kwwli umetabiri zinaanzia 2 na kuendelea,mimi sibeti lakini naweza nkaweka mechi tano hapa za mkeka mzima odds hazizidi 2 na ikatiki
Mpaka viwanja vya urithi uliviweka bond nini?Jamaaa alizingua sana
Jamaaa alizingua sana
[/QUO
Ajari kazini.
Alafu @Dogoli kinyamkela unapita kimya kimya utazania huuoni Uzi wako
Upepo ni wako huo na haijalishi ata kama umeweka pesa nyingi lazima utakula tuSometime betting ni kubahatisha tu, tangia tarehe 04 Kuna sehemu nachukua timu 3 daily naweka double chance mpaka Jana tarehe 11 Mkeka haujachana hata mara Moja.
Siku zote nilikuwa naweka 500 tu stake, Leo nimeweka Hela nasubiria maajabu ya kanji