Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

Lakini hata hizo odds zako unazotafuta huwa unawin mara nyingi nyingi tu
Mkeka niki share unchanika ila nikiwa nao alone unapasua.
Na ndiyo maana asa hivi si share sana code.
Labda nitoe tu mtazamo wangu wa mikeka kwa siku.

Nimekuwa mtazamaji.
Juzi nime share odds 2 zikakatika the same jana na leo tena.
Ila kwa mechi zilizofuata siku share mkeka uka win.
 
Duuh
 
Kama mnafukuzia odds 2.
Best opt ni hizi hapa kwa apps za mrusi

Goal after kona pick No (Unazuia kona goli)
HIt crosbar first half weka No.

And zile dk 45 za kwanza.
Pick double chance No 12.
Kwenye
Kona
Kadi
Offside
Throw in
On target n.k
Kwa opt hizo mechi 3 huwa na odds 2.5
Ni uhakika na salama ndan ya dk 45 unapata pesa ako
 
Ujerumani na america
First half kadi zinatembea sana
Unaweza select mechi 2 tu au 3.
Ukaomba doble chance ya kadi No 12.

Huwa ni 1.5 au 1.6 hadi 1.4
Game 2 ni odd 2 au 1.9.

Baada ya hapo..una select mechi kali, unaomba double chance ya shot on target au throw in. Mechi 2 hapo.
Unapata odd 1.4

So uki combine

1.5Γ—1.5Γ—1.5 hapo ni odds 2.4
 
Kwangu ni odds za mbuzi.
Nataka
sheremaya uone mfano wa kusaka odd 2 sasa hapo ukizidsha n odd 5 na ukiwa vzr una uhakika wa kupiga odd 5 kila siku
 

Attachments

  • Screenshot_20260907_001423_Helabet.jpg
    163.2 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…