The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,157
- 118,070
Kajamaa kanawashwa,naona kamejiingiza tu ghafla.mm sijaona ishu baina yenu. Kausha tu.
Kajamaa kanawashwa,naona kamejiingiza tu ghafla.mm sijaona ishu baina yenu. Kausha tu.
Broken na umeelewa?ChiefGodLove wa mchongo na vibroken english vyako.
Ishu baina yao hakuna! Anajipendekeza ili na yeye atrend kwenye ugomvihebu Mkubaliane ni saa ngap mnaanza hii vita,
Kwasasa hebu waache hao wawili kwanza 😊😊😊. Mtatuchanganya Mashahidi wa Mahakama.
Anyway, mm sijaona ishu baina yenu. Kausha tu.
Hata Bubu hua anaeleweka,Broken na umeelewa?
Mbona kasheshe?
hapo ulimaanisha niniItaongea sana mshamba wewe
Ndio hata mimi nakashangaa, kajamaa kameamua ghafla tu kujitongozesha kwangu!Ishu baina yao hakuna! Anajipendekeza ili na yeye atrend kwenye ugomvi
Well, I guess somo limekufikia.Hata Bubu hua anaeleweka,
Bubu kueleweka haimaniishi kua ndio ameweza kuongea.
Daaah kama ni hivyo wote hatupo salamaMkuu shida sio hiyo shida min mee ni mtu wa like nilipo ona kimya muda sana nikashituka mkuu, sijamzoea hivi mkuu, mfano hapa tu angekua Kesha tia timu lakini kimya bado
Nilimaanisha his ass! Sio yeye. Maana what's talking is not him but his insecure egohapo ulimaanisha nini
au tayari sukari ilikuwa kwenye peak ?
Kamesha anza kutetemeka mpaka vidole,hapo ulimaanisha nini
au tayari sukari ilikuwa kwenye peak ?
Hivi Mkikutana mubashara na huyo unayepotezeana muda na energy, mna uwezo wa kutumiana haya maneno au ujanja wote unaishia kwenye maandishi ?Sasa kwa taarifa yako, mimi niko hapa kuvunja ego za kishamba kama zako. Mshamba wewe. Huna nguvu yoyote na akili zako hazina orientation ujue influence yako haina mashiko yoyote humu jukwaani.
Leave your dumb fucking ego to your toilet because una geuka kuwa kituko
Nisimkimbize kichaa nisije onekana kichaa, gudu baiAcha kuanza kutia huruma hapa,
Hivi unajielewa kweli wewe? nani aanze vita na kimtu kama wewe,wewe si ndio umeleta shobo zako kwangu kuniomngelea sijui issue za smart phone na internet cafe? au umeamua kujitoa ufahamu sio?
Wewe pimbi umshughulikie nani? endelea tu kushobokea wanaume wa JF na kuwafungulia nyuzi pale wanapokua offline.
Unaniaga mimi ni mumeo?gudu bai
Jini mahaba anakusumbua kichwani unahitaji niku pekechue sio, bela wochi yua bakiUnaniaga mimi ni mumeo?
Ulipotaka kuingia JF uliniomba ruhusa mimi?
With no due respect, hujui chochote wewe sadist.. Mjinga.Kamesha anza kutetemeka mpaka vidole,
Kajamaa kaliteswa sana na Baba wa kambo,mpaka leo hakapo sawa.
Mwanaume mwenye akili akikimbizwa akiwa uchi ataficha Sura yake na mikono.Nisimkimbize kichaa nisije onekana kichaa, gudu bai
Hivi Mkikutana mubashara na huyo unayepotezeana muda na energy, mna uwezo wa kutumiana haya maneno au ujanja wote unaishia kwenye maandishi ?Kabishane na mamako,
Acha shobo wewe za kushobokea wanaume utaolewa,wewe huna akili ya kubishana na mtu yeyote humu JF zaidi ya kuuweka upumbavu wako wazi tu,
Hivi unajua hilo jina la kuitana Itigi mimi na Binti kiziwi limeanza lini na sababu yake ni nini?
Nadhan Huu Uzi umemuenzi vizur Min Me.Wale wakusuka mikeka na wasuke, ingawa bado hatujui mshindi ni nani kati ya wawili hawa.