Free internet,get it faster

Free internet,get it faster

Duuh! hehehe wajameni from my point of view izo line hazina shida mie nilishanunaga long time and still using its LIGHTENING fast na pia iko very

stable yani haijidisconnect even one time ata kama itakaa miezi mitatu thats a great offer coz kupata unlimited maximum speed ya tigo week ni

40,000 na mwezi ni 150,000.. sasa unanunua 40.000 and use it mpaka wapate ufumbuzi.. daah i say take the risk.. Bongo hii watu wanaishi kwa

madili and this only happens once usije ukapitwa LOL! hahaha yani uku ni full raha nashusha tu 24-7.. heheh tena they fast unaweza ukasurf and

download at the same time kama rite now as we speak! 🙂
 
Mi kuna wakati niliuziwa line ambayo unapiga international calls free na niliuziwa kwa sh. 100,000/= Niliitumia kwa wiki moja tu then ikawa blocked ingawa nilipiga sana na marafiki zangu kibao waliitumia. Ilikuwa ni ya kampuni ya nje ya Tanzania.
 
hili lijamaa lazima litakuwa tapelia wale wa tiGO,jiungeni na kifurushi cha siku,kinadunda hata wiki,mimi changu kina wiki ya tatu,bwerereee kwa jero tu!wewe unataka buku40,utaichora hapo chini.

Hii kitu kwa sasa wanai-limit mwanzo ilikuwa ni unlimited kwa 2 days, ila kwa sasa unapewa 20mb kwa 24 hrs tu.....
 
ukisema chip unakusudia nini? ni simcard au ni micro chip?
 
Niliwahi kuongelea swala la free internet.
Kuna watu walinitumia PM kwamba zikiwa tayari niwastue
lakini nimefanya hivo naona wanazingua tu.

Kuna chip,ambayo ukiweka kwenye modem ya mtandao huo
utatumia free internet daima.

Ina cost 40,000/=
PM me kabla ya kesho.

Usidanganyike, hakuna kitu kinaitwa free internet never......kwa taarifa yako kinachofanywa hapo ni change ya configurations za hiyo chip inakuwakama post paid wakati ni prepaid.

Take note: Ni vema hii biashara ungefanya kimya kimya sio kupublisize kama hapa kwa sbb ni rahisi sana kuwekewa mtego ukanaswa na ukibanwa sawasawa utamtaja huyo rafiki yako aliyeko kwenye huo mtandao, hiyo ni fraud case na jamaa yako wakimdaka tu atapoteza kazi hapo hapo haina mjadala hilo....pia kumbuka internet usage iko monitored kwa site kwamaana ya eneo au matumizi kwa mteja mmoja mmoja, so wakiona graph yako ni kubwa sana wanakuwa interested kupata record yako ya malipo sasa hapo ndo wanatakapo anza kukutafuta, line ziko registed na hata kama umesajili kwa taarifa feki wakiamua kukuwekea mtego watakudaka tu.......sikutishi ila huo ndoukweli ukitaka chukua ukitaka acha, kama ukiwa nayo tumia kimya kimya au kanunue ya voda elfu 30 kwa mwezi....kuna vitu vingine hasa hivi vya electonic unaweza ukahisi umejificha kumbe watu wanakuona tena ukiwa uchi
 
Makampuni husika watapata incentive gani ya kuendelea kufanya biashara na watapateje hela ya kulipa kodi tunayoihitaji kwa budget ya sirikali? Aulizae ataka kujua.
 
Usidanganyike, hakuna kitu kinaitwa free internet never......kwa taarifa yako kinachofanywa hapo ni change ya configurations za hiyo chip inakuwakama post paid wakati ni prepaid.

Take note: Ni vema hii biashara ungefanya kimya kimya sio kupublisize kama hapa kwa sbb ni rahisi sana kuwekewa mtego ukanaswa na ukibanwa sawasawa utamtaja huyo rafiki yako aliyeko kwenye huo mtandao, hiyo ni fraud case na jamaa yako wakimdaka tu atapoteza kazi hapo hapo haina mjadala hilo....pia kumbuka internet usage iko monitored kwa site kwamaana ya eneo au matumizi kwa mteja mmoja mmoja, so wakiona graph yako ni kubwa sana wanakuwa interested kupata record yako ya malipo sasa hapo ndo wanatakapo anza kukutafuta, line ziko registed na hata kama umesajili kwa taarifa feki wakiamua kukuwekea mtego watakudaka tu.......sikutishi ila huo ndoukweli ukitaka chukua ukitaka acha, kama ukiwa nayo tumia kimya kimya au kanunue ya voda elfu 30 kwa mwezi....kuna vitu vingine hasa hivi vya electonic unaweza ukahisi umejificha kumbe watu wanakuona tena ukiwa uchi

Asante sana mkuu!
 
Duuh! hehehe wajameni from my point of view izo line hazina shida mie nilishanunaga long time and still using its LIGHTENING fast na pia iko very

stable yani haijidisconnect even one time ata kama itakaa miezi mitatu thats a great offer coz kupata unlimited maximum speed ya tigo week ni

40,000 na mwezi ni 150,000.. sasa unanunua 40.000 and use it mpaka wapate ufumbuzi.. daah i say take the risk.. Bongo hii watu wanaishi kwa

madili and this only happens once usije ukapitwa LOL! hahaha yani uku ni full raha nashusha tu 24-7.. heheh tena they fast unaweza ukasurf and

download at the same time kama rite now as we speak! 🙂

Hii kitu ni nzuri sana kwa wale wanaotumia PC za home na umeme usio katika katika, kwa mtu kama mimi ninaye safiri kila baada ya siku tatu hainifai....
 
Mbogo kaishalewa sifa anataka kujulikana kwa njia haram unatembea na mke wa jirani yako halafu unajitapa hadharani ngoja utakipata cha moto waliulize waiba umeme wanataarifa.
 
Mkuu heb nisaidie mawazo km nimekuelewa vizur, mi natumia modem ya zantel haina chip (chip imewekwa ju kwa ju) nawezaje kunufaika na hii technology yako?
 
Duuh! hehehe wajameni from my point of view izo line hazina shida mie nilishanunaga long time and still using its LIGHTENING fast na pia iko very

stable yani haijidisconnect even one time ata kama itakaa miezi mitatu thats a great offer coz kupata unlimited maximum speed ya tigo week ni

40,000 na mwezi ni 150,000.. sasa unanunua 40.000 and use it mpaka wapate ufumbuzi.. daah i say take the risk.. Bongo hii watu wanaishi kwa

madili and this only happens once usije ukapitwa LOL! hahaha yani uku ni full raha nashusha tu 24-7.. heheh tena they fast unaweza ukasurf and

download at the same time kama rite now as we speak! 🙂

mkuu specify the speed rate!!!!
 
Me napewa tu kusambaza chip,....mengine hayo sijui

Thats Dangerous...Umepewa kusambaza wizi, nawe unakubali tu! Hii ndo maana hata wasanii wetu hawaendelei kwa kuwepo watu kama ninyi! Binafsi hata kama ungenipa Chip bure nisingetumia!
 
Usidanganyike, hakuna kitu kinaitwa free internet never......kwa taarifa yako kinachofanywa hapo ni change ya configurations za hiyo chip inakuwakama post paid wakati ni prepaid.

Take note: Ni vema hii biashara ungefanya kimya kimya sio kupublisize kama hapa kwa sbb ni rahisi sana kuwekewa mtego ukanaswa na ukibanwa sawasawa utamtaja huyo rafiki yako aliyeko kwenye huo mtandao, hiyo ni fraud case na jamaa yako wakimdaka tu atapoteza kazi hapo hapo haina mjadala hilo....pia kumbuka internet usage iko monitored kwa site kwamaana ya eneo au matumizi kwa mteja mmoja mmoja, so wakiona graph yako ni kubwa sana wanakuwa interested kupata record yako ya malipo sasa hapo ndo wanatakapo anza kukutafuta, line ziko registed na hata kama umesajili kwa taarifa feki wakiamua kukuwekea mtego watakudaka tu.......sikutishi ila huo ndoukweli ukitaka chukua ukitaka acha, kama ukiwa nayo tumia kimya kimya au kanunue ya voda elfu 30 kwa mwezi....kuna vitu vingine hasa hivi vya electonic unaweza ukahisi umejificha kumbe watu wanakuona tena ukiwa uchi

Suala hapa ni kwamba AACHE WIZI , siyo kuuza kimya kimya! Wizi ni wizi tu hata ukifanywa kimya kimya! Huwezi kusema unawasaidia watanzania huku unawauzia vitu vya wizi! Kila siku tunapigia kelele ufisadi halafu huyu jamaa anajifunza ufisadi. Kwa mtindo huu huwezi kushindwa kufanya ufisadi ukipata mtu wa kukutuma! Acha wizi dogo!
 
mkuu specify the speed rate!!!!
Ok bila shaka speed yake ina range dat for download speed range from 250- 350 KBps.. apo kama mtandao uku poa and somtimes at nite

inafika mpaka 400KBps.. na kama mtandao unasumbua its around 130KBps.. sijawah ona inashuka zaidi ya hapo mara chache sana.. na pia

inaweza ikazingua browsin speed somtimes lakini downloading speed haisumbui... iyo ni snap nimechukua now:

untitled.JPG
 
View attachment 39741

perfect. not bad!!! am gna PM you when i need it
 
Thats Dangerous...Umepewa kusambaza wizi, nawe unakubali tu! Hii ndo maana hata wasanii wetu hawaendelei kwa kuwepo watu kama ninyi! Binafsi hata kama ungenipa Chip bure nisingetumia!

kweli unalipenda taifa lako, Au wewe ni mfanyakazi wa tigo? kama ni mapenzi yataifa!!, i hope pia wewe c mkwepaji wa kodi wala mwizi wa umeme!!
MUNGU AKUZIDISHIE
 
perfect. not bad!!! am gna PM you when i need it
Mkuu mie siuzi hizi line alieanzisha thread ndo anauza mie nimekuja kuleta details on how dey are coz nilinuaga.. but kama clemmy zimemuishia then

u can pm me ntamcheki mshkaji aliniuzia mimi.
 
ok bila shaka speed yake ina range dat for download speed range from 250- 350 kbps.. Apo kama mtandao uku poa and somtimes at nite

inafika mpaka 400kbps.. Na kama mtandao unasumbua its around 130kbps.. Sijawah ona inashuka zaidi ya hapo mara chache sana.. Na pia

inaweza ikazingua browsin speed somtimes lakini downloading speed haisumbui... Iyo ni snap nimechukua now:

View attachment 39741

mkuu mie naomba hii dashboard. Tunaomba utupe downlaod link yake
 
Back
Top Bottom