Free internet,get it faster

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,327
2,227
Niliwahi kuongelea swala la free internet.
Kuna watu walinitumia PM kwamba zikiwa tayari niwastue
lakini nimefanya hivo naona wanazingua tu.

Kuna chip,ambayo ukiweka kwenye modem ya mtandao huo
utatumia free internet daima.

Ina cost 40,000/=
PM me kabla ya kesho.
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330

Hapo kwenye daima ndio nina mashaka napo sababu kwa vyovyote vile nina uhakika wanaweza wakaziba loophole hususan wabongo robo tatu wote tutakapoamia kwenye hii issue..

anyway hata kama sio daima ni miezi mitatu kama mtu alikuwa anatumia 10,000/= kwa wiki sio mbaya hapo kuna savings
Just from technology and hackers point of view big up and keep us posted.., in the future ikikubali alafu ikaja kukataa taomba tuambiane mlifanyaje na kwa kutumia njia gani

Knowledge is power !!
 
You're right.
Daima sio miaka yote kivile,wanaweza fungasha ikaondoka tanzania so
utakua huna access nao.
Au hadi waje kuifungia chip hiyo ingawa sio rahisi.
Infact,natumia toka mwezi wa 6 mpaka leo.
Sikumbuki idadi ya Gigabytes nilizo shusha,but its free.

So far imebaki moja hadi mda huu.
Anae zitengeneza anafanya kazi huko huko ndani ya mtandao sio mimi.
mimi muuzaji tu
 
bigboi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
920
1,665
Jesussssssss yaani kabla hujanunua jiulize hiyo chip inakaa wapi unatoa laini ya simu ndo unaweka hiyo chip! Sounds too good to be true hamna kitu hapo utapeli tu wasije wakakuuzia memory card wakwambia ndo chip wenye modem za zantel na ttcl si unajuwa unaweza kuweka memory card
 
VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,201
1,330
You're right.
Daima sio miaka yote kivile,wanaweza fungasha ikaondoka tanzania so
utakua huna access nao.
Au hadi waje kuifungia chip hiyo ingawa sio rahisi.
Infact,natumia toka mwezi wa 6 mpaka leo.
Sikumbuki idadi ya Gigabytes nilizo shusha,but its free.

So far imebaki moja hadi mda huu.
Anae zitengeneza anafanya kazi huko huko ndani ya mtandao sio mimi.
mimi muuzaji tu

Got you.., I know its possible sababu mimi najua washikaji fulani UK walikuwa wanaweka chip kwenye SKY box zao na Cable box zao na wanacheki channels zote bure.., pili long time ago kulikuwa na mtandao wa one2one ambapo ulikuwa ukinunua simu fulani wanakuwekea chip ambayo ina pound 10 yaani dawa ni kwamba ongea usimalize salio likibaki chache wewe zima simu washa tena salio linarudi kuwa 10 pounds..., iliendelea hivi kwa muda mrefu sana mpaka watu wengi walipogundua jamaa ndio wakaziba huo upenyo..

Yeah its possible na mara nyingi inabaki hivi kwa muda mrefu kama watu sio wengi sana wanaopata hii service kiasi cha kwamba jamaa wenye mali kuona kwamba its a pain and its costing them a lot
 
tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
We ni tapelli.
Jamaa alie weka zantel bure na tunaitumia bila kulipa hata sentitano.
wewe unataka tulipe,huoni kama unelekea kama vile mnageria au mkongo.
Sasa hivi tuna peta bure na jamaa wetu wa Jf alietupa mawasiliono bure,
 
Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,327
2,227
Ninayo chip moja kwa sasa,...
ingekua vyema kama utaichukua na uko dar ili in case of anything
ufumbuzi ufanywe fasta.
Asanteni kwa mlio jitokeza kuchukua.
 
Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,327
2,227
We ni tapelli.
Jamaa alie weka zantel bure na tunaitumia bila kulipa hata sentitano.
wewe unataka tulipe,huoni kama unelekea kama vile mnageria au mkongo.
Sasa hivi tuna peta bure na jamaa wetu wa Jf alietupa mawasiliono bure,

Asante,...
aliweka nini ya zantel bure?
Hii ni chip,na sio ya zantel....sasa kama kuna sehemu wanagawa chip bure hongereni.
Kama ni teknolojia inayo tumika kuchakachua ningekua naijua me mwenyewe ningefanya
kwa mitandao yote.
Me napewa tu kusambaza chip,....mengine hayo sijui
 
Hercule Poirot

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
1,675
1,338
nadhani tigo watakua wanahangaika namna ya kuzuia haka kaufisadi mnakokafanya...alf 50 zero guarantee
 
Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,919
19,614
IP yako iko tayari sasa tuna monitor uko wapi kabla ya kumaliza kazi nzima, feki feki mko wengi lakini tunataraji uta chain wahusika wengine wote, wa16 on duty.
Acha kumtisha mchakachuaji wetu, seikali yako ni yawezi sasa kijana anajitafutia ugali we roho inakudunda kwa kasi kiasi hicho?
 
snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,369
992
hili lijamaa lazima litakuwa tapelia wale wa tiGO,jiungeni na kifurushi cha siku,kinadunda hata wiki,mimi changu kina wiki ya tatu,bwerereee kwa jero tu!wewe unataka buku40,utaichora hapo chini.
 
Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
988
131
hili lijamaa lazima litakuwa tapelia wale wa tiGO,jiungeni na kifurushi cha siku,kinadunda hata wiki,mimi changu kina wiki ya tatu,bwerereee kwa jero tu!wewe unataka buku40,utaichora hapo chini.

'utaichora hapo chini'...dah umenikumbusha mbali kweli...
 
king'amuzi

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
615
225
warning nimewahi kupewa na mshikaji chip kama hiyo kiukweli huwezi tumia zaidi ya miezi 3 alafu kibaya hazijakuwa registered so sikushauri ununue feki ambayo itakugharimu.
 
mzee wandimu

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
470
229
hili lijamaa lazima litakuwa tapelia wale wa tiGO,jiungeni na kifurushi cha siku,kinadunda hata wiki,mimi changu kina wiki ya tatu,bwerereee kwa jero tu!wewe unataka buku40,utaichora hapo chini.

tehe tehe! acha niku pm mkuu tuzungumze machache!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom