Free and Independent Zanzibar

Zanzibar's issue go way beyond Muungano. Zanzibar seceding from the union will not change their economic situation contrary to what they want to believe. Wajitenge kwa sababu zingine ila si uchumi.
Mkuu labda kama wakumbwe na Bad Leadership Syndrome ya Waafrica, sababu hiyo port yao tu wakiifanya free port Zanzibar inayo potential ya kuwa business hub ya Africa Mashariki na sisi wote tungekuwa tunafata bidhaa zenji na sio Dubai...,

lakini saying that Tanganyika ina potential ya kuwa tajiri zaidi ya majority ya nchi za Europe..., lakini as you know Ufisadi and nothing between our ears inatufanya tubaki masikini (but since Zanzibar is small it can be easily managed)
 
waaapi nyingi wenyewe mkiona washa washa tu mnakimbia.

Muulizen Seif now katulia anakula kuku kwa mrija!
Mnaichagua ccm wenyewe, ccm iliayopa kulinda muungano kwa nguvu zote then mnakuja kulia hapa, kwenden zenu huko alaaah!
mkuu, nafikiri ukweli upo dhahiri kwamba hatujawahi kuichagua CCM. CCM daima huwa inajichagua na kujiweka madarakani yenyewe. Na wala sisi hatuogopi washawasha. Sisi si waoga kama wabara, sisi kufa kwetu ni tunu mbele za mungu hasa tunapokufa kwa ajili ya ukombozi wa wengi.
 
ina maana kanisa lina rangi zake! Fanyeni vitendo tumechoka na sound, kila mara muungano lazima tuuvunje. Muda ndio huu sasa vunjeni kwa vitendo sio kwa sound!
 
Well said mkuu. By the way hawa jamaa hawana ufahamu wa namna gani karafuu limekuwa ni zao mhimu katika uchumi wa Tanzania. Najaribu kupata picha kama tutakuwa nchi huru na tukajipangia bajeti yetu ya kilimo and the likes, tukawekeza serious kwenye zao la karafuu na kuimarisha bandari yetu, hatutahitaji miaka kumi kuiacha Tanganyika mbali kabisa.
 

ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kumbe eeeeh
 
znz mkivunja muungano mtapata tabu! Mnabebwa sana na Tanganyika, kama hamuamini vunjeni muone.
 
Well mie sikujua kama naingilia ugomvi wa jinsi hiyo ila nimewasikiliza kwa makini kafu na mkutano they were bold and sounded real .Wanaongelea Nchi yao ya Zanzibar pekee .Nikawa najiuliza na kafu bara nayo itaongelea nini ?
 
Tumeshawaambia tunataka uhuru wetu nyie watu wa bara. Wale walionijibu kwenye ile thread nyingine kwamba nisipige tu kelele hapa JF nafikiri wataelewa sasa what is going around. We are quit serious, we need out independence.
 
Well mie sikujua kama naingilia ugomvi wa jinsi hiyo ila nimewasikiliza kwa makini kafu na mkutano they were bold and sounded real .Wanaongelea Nchi yao ya Zanzibar pekee .Nikawa najiuliza na kafu bara nayo itaongelea nini ?

Mkuu hili swali zuri sana ila nakushauri umperekee yule mkurya Naibu Katibu Mkuu wa CUF bara.
 
Tumeshawaambia tunataka uhuru wetu nyie watu wa bara. we need out independence.
Walianza na mafuta, wakakuta mafuta menyewe ni hewa! Sasa wanazungumzia uhaini kuuvunja Muungano! Kama mna ubavu kama wale wazee wa Pemba vunjeni huo Muungano tuone!
 
Let us hear the conclusion of the whole matter: Fear God, and keep his commandments: for this [is] the whole [duty] of man." --Ecclesiastes(muhubiri) 12:13
 


Kwa maandiko haya ya kuandika kwa papara hata hakuna mpangilio huko UN kama na wewe utaenda basi mmekwama maana hata kuandika hujui unaitaka Zanzibar ya kazi gani ?
 
Ina maana wewe na akili zako zote unashindwa kuiona tofauti iliyopo kati ya bendera ya Tanganyika na Tanzania? Na bado unashindwa kuiona tofauti kwenye nembo hizo? Kuwa serious kidogo. Pengine ungeuliza kuna tofauti kwa kiwango gani? ngoja nikufafanulie tofauti zake ambazo ni kubwa sana ambazo zinazifanya bendera hizo na ngao zisifanane abadani ingawa zina rangi zinazokaribiana kama ilivyo kwa bendera ya Kenya na Sudani Kusini.Tofauti ya bendera ya Tanganyika na Tanzania ni kuwa ya Tanganyika haina rangi ya bluu halafu mistari yake imelala....Tofauti ya ngao ni kuwa ngao ya Tanganyika ndani yake ina bendera ya Tanganyika na ngao ya Tanzania ndani ina bendera ya Tanzania.Swali sasa. Hizo siyo tofauti? Ama ulitaka tofauti za kivipi kwa mfano?Idumu Tanganyika!
 
hawajamaa naona wamechoka kubeba Magunia,ni vema wakarudi unguja kuja kula urojo
 
Ni mpango mzuri sana wa kuanza kutoa pressure ktk jumuia ya Kimataifa. ZNZ ina chance nzuri ya kujitenga kutokana location na iliyokuwa nayo. Good job.
 
Hawa magamba wanapigania kitu wasichokijua na kisicho kuwa na tija yoyote kwa watz,JK na maraisi wengne wanang'ang'ania muungano kwa kuepuka tu kuambiwa muungano ulifia mikononi mwao..but i am sure hata wao wangetamani uvunjike.JK,nyerere alishakufa,unamuogoga nani? Wape watu wanachotaka,waachie wazenji kisiwa chao,yamkini kelele zikapungua!
 
Kila siku tumesema hawa watu ni kama mabibi, wanao penda kulelewa na kulishwa bure.
Fanya kazi mkuu ili "ujiconcentreritie" mwenyewe.
Issue za muungano hazikuzuii kulima
Issue za muungano hazikuzuii kujielimisha
Issue za muungano hazikuzuii kujijengea nyumba Zanzibar
Issue za muungano hazikuzuii kujenga barabara kutokana na kodi zenu wenyewe
Uvivu ndio unasababisha uishi kutegemea kuna mtu atakupa vya bure, hiyo ni tabia ya mabibi.
 

haaaah haaaah haaah mkuu basi basi inatosha wasije wakatualqaeda hawa, me hata siwaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…