Free and Independent Zanzibar

Free and Independent Zanzibar

Watieni bakora wazenj wanaokula kuku kwa mrija huku kwa machogo, hamuwezi kaeni kimya mtulie bughdha hatuitaki siye! weye hueldwi nguvu ya mtu hailiwi' kula mliwe wote!
 
Z'bar bana, utadhani wamewekewa gundi!
Umeme tu tunawadai 50bil na hizo ni baada ya punguzo. Je mengineyo?
Mtoto akianza kubalehe hujiona kakua pasi na kujua bado anamhitaji babake kwa mambo mengi.
Siwashauri wameguke ila wakiona inafaa njia zipo nyingi sana.
 
Tundu lisu aliwaambia kuwa nyerere alizidi ujanja karume ndo maana hata kuchanganya udongo alifanya peke yake.Kama mmeshakuwa wajanja chukueni nchi yenyu bana,haina majoto
 
Je mnaonesha juhudi za kuudai uhuru? Au mmetulia ili wabara wawetee?? Kama shein dr.alikuwa si mzanzibar mkaazi kwa zaidi ya miaka 8 pia hakupiga kura zanzibar wala hakujipigia kura ila akatangazwa rais wenu akitokea bara,Makamu wenu wa kwanza ni makamu wa raia mwema ambaye ni prof. Lipumba ivo hupokea amri kutoka bara kwa mwenyekti wake,mnategemea nini? Mna safari ndegu sana. Nawatakia mafanikio.
 
Wazenji bana, ni kama TROJAN Virus vile, heheheee.......

 
Last edited by a moderator:
Wazenji bana, ni kama TROJAN Virus vile, heheheee.......


sasa hii inatuhusu vipi Wazanzibari? Wenye tabia hii ya wizi na ujambazi ni wabara na si wazanzibar. Mimi nawashangaa sana wabara na hata tukikaa kwenye vijiwe vyetu tunashangaa sana ni kwanini wabara wanaona kama vile Zanzibar inafaidi kwa kuwa kwenye muungano, na bado inatung'ang'ania? Kama mnaona hatuna faida mnatushikilia wanini?

Eti mnasema mmetupa umeme wa bure. Kwani Zanzibar wakati inapata uhuru haikuwa na umeme? Kwanza umeme wenu huu unaokuja kama vile wa nguvu za giza? Yaani siku ambazo tunapata umeme kwa mwaka zinahesabika. Bora mtuache huru ili tujiwekee mipango yetu kabambe ya kuzimaliza shida zetu. Tunaamini tunaweza kutafuta mbinu bora zaidi za kumaliza tatizo la umeme huku zanzibar tukiwa huru kuliko hivi sasa ambapo bara imelifanya zanzibar kuwa koloni lake na kufanya kazi ya kuipangia kila kitu cha kufanya.

Kwa taarifa yenu, vyanzo vya uchumi vya Zanzibar ni vingi na vikubwa, kama tukiachiwa tujiendeshe tunaouwezo wa kufanya maendeleo ya haraka na kuipita bara ndani ya miaka isiyozidi kumi. Wakati nyie huko bara mmewaacha watu wachache wanafaidika uchumi wa nchi, wazanzibar wamekuwa daima waaminifu kwa wananchi na wanafanya kila jambo kwa maslahi ya wananchi si kama bara ambako kumejaa wezi na majambazi wanaotafuna uchumi wetu kama mchwa.

Tunasema tupeni uhuru wetu, ili tujitegemee na tujenge nchi yetu ya Zanzibar kwa uhuru na ufanisi zaidi na si kwa kupangiwa kila jambo la kufanya. Tunataka uhuru wetu. Kwa taarifa yenu harakati zimeshaanza, tutachoma makanisa na baa zote mlizojenga Zanzibar, na kuwafukuza walowezi wote kutoka bara. Hatuwataki huku. wanatuharibia maadili yetu na utamaduni wetu.
 
Last edited by a moderator:
All the bst zanzibarians..yan SIWAPENDIII.
 
Mungu abariki siku moja muungano ufe, ki ukweli kabisa huu muungano kwa sasa ni wa viongozi tu.

Wananchi wa kawaida wa Tanganyika hawanufaiki wala hawaupendi, Wazanzibari walio wengi hawautaki hata kuusikia sijui upo kwa manufaa ya nani! Wote tunaelewa kuwa hawa jamaa sasa wamekuwa kama ndugu zetu ila kwa kweli kuna haja ya kuangalia upya hili swala. Ndugu zangu wa Zanziberi kuweni makini sana, Muungano unawasidia nyinyi zaidi kuliko Bara, ni heri mnyenyekee ili muendelee kufaidi.

Viongozi wetu kama wapo wanaopita hapa, please wafurahisheni wa zanziberi, waacheni wajitegemee wameshaota ndevu sasa wamepata mafuta (kama yapo lakini) yanawadanganya
 
Umechukua hatua gani?, inabidi ufanye zaidi ya kubwabwaja hapa JF
Soma post yangu namba 22. utaelewa ni hatua gani tumeanza kuichukua hivi sasa. Na inshallah Munyazi Mungu akijalia zikawa na mafanikio, naamini watawala wetu wataelewa nini wazanzibar tunawaza na kwamba umefika wakati sasa tunataka kuwa huru
 
Mungu abariki siku moja muungano ufe, ki ukweli kabisa huu muungano kwa sasa ni wa viongozi tu.

Wananchi wa kawaida wa Tanganyika hawanufaiki wala hawaupendi, Wazanzibari walio wengi hawautaki hata kuusikia sijui upo kwa manufaa ya nani! Wote tunaelewa kuwa hawa jamaa sasa wamekuwa kama ndugu zetu ila kwa kweli kuna haja ya kuangalia upya hili swala. Ndugu zangu wa Zanziberi kuweni makini sana, Muungano unawasidia nyinyi zaidi kuliko Bara, ni heri mnyenyekee ili muendelee kufaidi.

Viongozi wetu kama wapo wanaopita hapa, please wafurahisheni wa zanziberi, waacheni wajitegemee wameshaota ndevu sasa wamepata mafuta (kama yapo lakini) yanawadanganya
Sasa kama mmetuchoka mbona mnaendelea kutung'ang'ania? Mara ngapi wabunge wazanzibar wamelalamika kuhusu muungano, nyie mnawatishia wasiendelee kusema. Kama mngewapa uhuru wa kusema wanachokifikiria naamini kabisa wangewapa ukweli kwamba wazanzibar hatutaki muungano.
 
Mnadai uhuru kwa nani sasa? Jitoeni tu wenyewe
Tunadai uhuru kutoka kwa watanganyika. Tunawezaje kujitoa ilihali tunasutwa na sheria za kimataifa. Hapo tutakapotangazwa kuwa ni nchi huru ndipo tutakapoweza kujipambanua kimataifa kama taifa huru.
 
Lipeni kwanza deni la Bilioni 50 kwa kuwapatieni umeme, halafu mnasepa tu.

Hatuna deni la umeme Wazanzibari, hio ni zawadi kwa viongozi wetu ili wasiuvunje "muungano" huu feki.

Hatuna cha kulipa maana hatukukopa, tunatumia chetu.
 
[h=1][/h]Written by amini // 09/07/2011 // Habari // No comments

Tunampango wa kuonyecha mabao yetu ya (Free Zanzibar) na utawala wa Tanganyika ijitayo Tanzania.

Hivi sasa kuna matarisho ya Wa-Zanzibar wanao ichi USA kuji Oganazi ili kusubiri kikao cha UN kukaa ili wapeleke ujumbe wao mzito unaoeleza Wazanzibar kukana Muungano fake wa Tanganyika ijitayo Tanzania.
Mataricho ya papes 98 tayari yamesha tarishwa yenye ujumbe mkoli na nyengine na copy nyengine zitagaiwa nje ya jengo hilo kwa wale wasio fahamu kipi kinajiri Zanzibar hivi sasa chini ya mtawala Tanganyika.
Kwa kunukuu tu vifungu vya pape hizo ni ujumbe wenye kusema Wzanzibar hawataki Muungano na kilichobaki ni kutawaliwa kinguvu na Serekali ya Tanganyika ijitayo Tanzania, kwa hio Wzanzibar wanataka Muungano uvunjike kwa vile upande mmoja umecha poteza uhalali wa Muungano kwa kujita Tanzania na kufanya chuhuli zote za Tanganyika ktk mwevuli wa Tanzania ikiwemo kuchukuwa misada ya nje kwa jina la Muungano wa Tanzania lakini kutumika kwa chuhuli za Tanganyika, kuwa na Mabalozi wa Tanganyika ktk ulimwengu wakajifanya ni mabalozi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hali yakuwa wanawakilicha Tanganyika tu.
Kwa hio demand ya Wazanzibar nyumbani Zanzibar ni ujumbe wao wa kujulicha ulimwengu kuwa Muungano una kasoro nyingi kubwa ni kufa kwa mchirika Tanganyika na kuitumia Tanzania kwa faida ya Tanganyika huku Zanzibar kubanwa kwa masuala yasio ya Muungano, kutumia nguvu, kujengwa kambi nyingi za wanajeshi wa kigeni wenye asili za Tanganyika kwa wingi Zanzibar, kulitumia jina la Tanzania kwa benefit ya Tanganyika kwa Balozi za Tanganyika kwa jina laTanzania na mengi tu yalomo ktk papes.
Kwa hio tunawaomba Wazanzibar wote waloko Europ na nchi nyengine watunge mkono kuonyecha hisia zetu ktk UN ili kujulicha ulimwengu hali ya ujanja wa Tanganyika kutumia vibaya jina la Tanzania haliyakuwa ni Tanganyika ilovaa koti la Tanzania.
 
ntasherehekea sana siku hiyo,yaani nisivo ipenda zanzibar kha

Mimi nayashangaa haya maviongozi yetu kwa nini yana ng'ang'ania nchi ya watu. Visiwa vyenyewe vidogo kuliko hata wilaya yoyote iliyo ndogo kuliko zote hapa Tanganyika. Haya Mazanzibari tuyaache yakachinjane yenyewe kwa yenyewe kwa sababu hayo Mapemba na Maunguja hayatakaa meza moja. Hivi sasa yana kaa meza moja kwa sababu yako ndani ya Muungano. Natamani siku moja nione maneno haya: JAMHURI YA WATU WA TANGANYIKA!

Ewe Mwenyezi Mungu, kama ulivyomruhusu Simon amwone mtoto Yesu ndipo afariki dunia nami pia nijaalie nione taifa langu ndipo nilale mauti. Nimechoshwa vya kutosha na kelele za Wazanzibari!

images


 
..msitusubiri wa-Tanganyika. kwetu sisi mgao wa umeme, na vita dhidi ya ufisadi, ndiyo priority zetu kwa sasa hivi and in the near future.

..njia ya uhakika na haraka ni wa-Zanzibari kutoshiriki ktk hii inayoitwa serikali ya muungano.

..pia wabunge wote walioko kwenye bunge la muungano watangaze kuachia nafasi zao.

..mkifanya hivyo muungano utakuwa umefikia tamati.
 
..hayo mabango mngeyapeleka bungeni Dodoma.

..labda waheshimiwa wangeshtuka kidogo.
 
Back
Top Bottom