[h=1][/h]Written by
amini // 09/07/2011 //
Habari //
No comments

Tunampango wa kuonyecha mabao yetu ya (Free Zanzibar) na utawala wa Tanganyika ijitayo Tanzania.
Hivi sasa kuna matarisho ya Wa-Zanzibar wanao ichi USA kuji Oganazi ili kusubiri kikao cha UN kukaa ili wapeleke ujumbe wao mzito unaoeleza Wazanzibar kukana Muungano fake wa Tanganyika ijitayo Tanzania.
Mataricho ya papes 98 tayari yamesha tarishwa yenye ujumbe mkoli na nyengine na copy nyengine zitagaiwa nje ya jengo hilo kwa wale wasio fahamu kipi kinajiri Zanzibar hivi sasa chini ya mtawala Tanganyika.
Kwa kunukuu tu vifungu vya pape hizo ni ujumbe wenye kusema Wzanzibar hawataki Muungano na kilichobaki ni kutawaliwa kinguvu na Serekali ya Tanganyika ijitayo Tanzania, kwa hio Wzanzibar wanataka Muungano uvunjike kwa vile upande mmoja umecha poteza uhalali wa Muungano kwa kujita Tanzania na kufanya chuhuli zote za Tanganyika ktk mwevuli wa Tanzania ikiwemo kuchukuwa misada ya nje kwa jina la Muungano wa Tanzania lakini kutumika kwa chuhuli za Tanganyika, kuwa na Mabalozi wa Tanganyika ktk ulimwengu wakajifanya ni mabalozi wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hali yakuwa wanawakilicha Tanganyika tu.
Kwa hio demand ya Wazanzibar nyumbani Zanzibar ni ujumbe wao wa kujulicha ulimwengu kuwa Muungano una kasoro nyingi kubwa ni kufa kwa mchirika Tanganyika na kuitumia Tanzania kwa faida ya Tanganyika huku Zanzibar kubanwa kwa masuala yasio ya Muungano, kutumia nguvu, kujengwa kambi nyingi za wanajeshi wa kigeni wenye asili za Tanganyika kwa wingi Zanzibar, kulitumia jina la Tanzania kwa benefit ya Tanganyika kwa Balozi za Tanganyika kwa jina laTanzania na mengi tu yalomo ktk papes.
Kwa hio tunawaomba Wazanzibar wote waloko Europ na nchi nyengine watunge mkono kuonyecha hisia zetu ktk UN ili kujulicha ulimwengu hali ya ujanja wa Tanganyika kutumia vibaya jina la Tanzania haliyakuwa ni Tanganyika ilovaa koti la Tanzania.