Free and Independent Zanzibar

arigold

JF-Expert Member
Jun 23, 2011
600
341
543_zanzibar_serena_inn_1__md.jpg

I think we should get used to the idea that one day or next few years Zanzibar will be Independent from its ever meddling mainland partner: Tanganyika.

That said, I often wonder if Jamii Forum's GREAT THINKERS can have a decent and informed discussion on the idea of an independent Zanzibar without patronising those in favour of independence
 
Nawaonea huruma wanaojiita ni wazanzibar wazalendo, maskini ya Mungu wanaponzwa na wawakilishi wao waliopewa nyadhifa kubwa serikali ya Muungano.
Na ndo maana kila hoja inayoletwa ya kuuangalia Muundo wa muungano ili kuweza kuuboresha inapingwa kwa nguvu zote na wawakilishi kutoka Zanzibari. Nashindwa kuelewa nia ya hawa wawakilishi ni nini ? hasa ukitambua hisia na mamazo ya wananchi kuhusu muungano.

Kwa mwendo huu, Zanzibar litaendelea kuwa koloni la Tanganyika huku manung'uniko ya wananchi yakiendelea kuzimwa na hawa wachache.
 
Jana tumeshuhudia kuzaliwa kwa taifa jipya la Sudan kusini, baada ya harakati za muda mrefu za mapambano ya kutafuta kuwa huru dhidi ya Sudani ya kaskazini. Hili ni somo mhimu sana kwetu wazanzibari ambaye kwa muda mrefu tumeishi kwa kuamliwa mambo na watanganyika.

Umasikini wa Zanzibar kwa kiasi kikubwa umesababishwa na wabara ambao wamekuwa na mipango mibovu na wala rushwa halafu wanahamishia mipango yao ya hovyohovyo kule kwetu zanzibar na kutusababishia umasikini mkubwa na hali ngumu ya maisha.

Wazanzibar tuko wachache, kipato chetu kinatosha kutulisha sisi wote na kutuhakikishia maisha yenye neema, lakini kutokana na Muungano, kipato chetu tunashare na wabara, halafu gawiwo tunalopata linakuwa dogo na kutufanya tuonekane na sisi ni maskini kama walivyo wa bara.

Sasa tunataka uhuru wetu, tunataka tujitawale, hatutaki kupangiwa mambo na wabara. Seriously we are going for it.
 
Patience and perseverance have a magical effect before which difficulties disappear and obstacles vanish. A little knowledge that acts is worth infinitely more than much knowledge that is idle...

As long as you keep a person down, some part of you has to be down there to hold him down, so it means you cannot soar as you otherwise might...That's what Independence is and you will get it!!!
 
Lipeni kwanza deni la Bilioni 50 kwa kuwapatieni umeme, halafu mnasepa tu.
Hela waitoe wapi wachovu hao kazi yao kunywa kahawa vijiweni,kazi hawajui kufanya wavivu wa mwisho duniani watu wanao ishi kwa majungu tu! Kwanza washukuru Tanzania Bara imewabeba sana!
 
Chukueni bure!! Tunawasamehe hata hizo bi. 50. Tumewachoka. Kama mngekuwa wanawake tungehama na kuwachia nyumba, naenda kuoa mwingine na kujenga nyumba nyingine
 
Kwani Bara inafaidi nini toka Zenji? Sana sana wazenji wanafaidi madaraka na vya bure toka Bara.
 
jana samweli sitta kasema mnadaiwa hela kibao za umeme,tunaombeni hela zatu nyie waunguja!!mmeona vimafuta vitapatikana ndio mnaanza kelele zenu wala nguru wakubwa
 
Wazenji mmezoea kubofya hamuwezi kukandamiza, tunawaonea huruma. South Sudan wamekandamiza ndio wakapata uhuru nyinyi mtaweza? Mguu upande mguu sawa rejea.
 
Hata mie naona Suala la Uhuru wapewe Wanzanzibari wenyewe!Wapige Kura ya Maoni!
Majibu yaheshimiwe hapo ndipo Kitakapoeleweka!
 
Back
Top Bottom