Free and Independent Zanzibar

........Ugomvi wa mtu na mke wake mwaingilia kwanini?..... ILIWAHI KUIMBA BENDI MOJA
 
Ukumbuke Zanzibar ni nchi ambayo ilipigania uhuru wake na ikajitawala kwa muda wa miezi kadhaa kabla ya kunyang'anywa huo uhuru na Nyerere.

Mkuu, hiyo nyekundu ni NCHI ya ngapi vile kule barani Asia, maana nimejaribu kuangalia katika Afrika nimekutana na South Sudani tu kama nchi ya 54;Plz!
 
IYO bendera ya tanganyika leo imeberuzwa ndio imekuwa ya tanzania,na nembo ya tanganyika imekuwa ya tanzania,wimbo wa taifa wa tanganyika umekuwa wa tanzania,sas amuungano huu vipi ? Tanganyika sio ndio hii tanzania sasa kuna muunganano gani ?View attachment 33606View attachment 33607 ukiangalia hivyo vya tanganyika ndio tanzania dah huu utapeliii
 
Zanzibar's issue go way beyond Muungano. Zanzibar seceding from the union will not change their economic situation contrary to what they want to believe. Wajitenge kwa sababu zingine ila si uchumi.

Nakuhakikishia kuwa siku mkiondosha majeshi yenu ya uvamizi Zanzibar, Zanzibar ina potential kubwa kufaulu kiuchumi.

Ni fitna tu za mkoloni mweusi Tanganyika ndio ilioidumaza nchi yangu niipendayo.

I cant wait to see your backs.
 

waaapi nyingi wenyewe mkiona washa washa tu mnakimbia.

Muulizen Seif now katulia anakula kuku kwa mrija!
Mnaichagua ccm wenyewe, ccm iliayopa kulinda muungano kwa nguvu zote then mnakuja kulia hapa, kwenden zenu huko alaaah!
 
I wish mjitenge leo,maana mnalalamika sana.hvi mnadhani tunafaidi nini toka kwenu? Tumewabeba sana hamlioni hlo..mmejaa huku bara kwetu,mpaka vijijini then kila siku mnalalamika..aarh! Sijui mnangoja nini.i can tell you,hakuna damu ya mtu hata mmoja itamwagika mkitaka kujitenga tofauti na sudan walouawa watu 1.6 milion...mafuta chukueni,kila mnachoona kinawafaa chukueni muondoke,kila mkutano wa bunge mnatupotezea muda kwa kulalamika...go!
 
Bendera ya tanganyika
View attachment 33610Ya tanzania ina tofauti gani na tanganyika ?
View attachment 33611Nembo ya tanganyika hii sasa ona ya tanzania
View attachment 33612hii sasa imekuwa ya tanzania

Wakiambizana kuwa zanzibar ni nchi ndogo sana hawatushughulishi,hii ndio ccm,hata ule wimbo wa taifa wa tanganyika umekuwa wa tanzania,huu ni utapeli wa kutupwa,hizo rangi za kanisa ndio zimetukaba watanzania na wazanzbari.

Muungano lazima tuuvunje,hatuutaki umetukaa rohoni,mkubwa mnyanyasa mdogo
 
Nakuhakikishia kuwa siku mkiondosha majeshi yenu ya uvamizi Zanzibar, Zanzibar ina potential kubwa kufaulu kiuchumi.

Ni fitna tu za mkoloni mweusi Tanganyika ndio ilioidumaza nchi yangu niipendayo.

I cant wait to see your backs.

Nyie nendeni tu kaka/dada wengine tusha choka haya makelele. Haya jitengeni muende kuwa kama ulaya.
 
Chukueni bure!! Tunawasamehe hata hizo bi. 50. Tumewachoka. Kama mngekuwa wanawake tungehama na kuwachia nyumba, naenda kuoa mwingine na kujenga nyumba nyingine

Wapewe tu, wakisha kuwa huru wataanza wapemba na waunguja and so on.
 
uvunjike 2 hauna tija kwe2 ce watanganyika.
 
View attachment 33609
Bendera ya tanganyika

View attachment 33610
Ya tanzania ina tofauti gani na tanganyika ?

View attachment 33611
Nembo ya tanganyika hii sasa ona ya tanzania

View attachment 33612
hii sasa imekuwa ya tanzania


Following the 17 January 1964 coup which deposed the Sultan, the revolutionary group purporting to represent the island’s Negro majority proclaimed a Peoples’ Republic. This immediately made an offer of union with the Marxist-leaning government of Tanganyika. Two flags emerged during the early part of this period - the horizontally striped black-yellow-blue flag appears to have been short lived, and was replaced with the blue-black-green triband with a white stripe in the hoist.



As happened in neighbouring Tanganyika, this latter flag was based on the emblem of the ruling party; in Zanzibar’s case the Afro-Shirazi party. The party had a flag of blue over black over green with a yellow hoe in the centre. The national flag omitted the hoe and had a white stripe at the hoist.




Tanzania Flag


The president's flag of Zanzibar carries the seal of the president on a green cloth. Over the emblem of the revolutionary government is the yellow letter "R" for the KiSwahili word "Rais" (= president).
The inscription of circle band is "Nembo ya Rais wa Zanzibar" (= the seal of the president of Zanzibar).


This is the flag of the short-lived People's Republic of Pemba in 1964


flag of Zanzibar
 
what happened MM? Tutengane kwanza,wajifunze then tuungane tena,malalamishi yatakuwa yameisha.
You guys are joking! So unaona kwamba tukitengana tutaomba tena kurudi kwenu? You are kidding guys. Kwanza wabara mnatuzibia sana nyie, kama tungekuwa huru hivi leo tungekuwa kwenye jumuiya ya nchi za kiislam and I believe tungekuwa tumeshapata watu makini wa kutafiti mafuta yetu na kuanza kuyachimba kwa faida ya wazanzibar. Sasa hivi nyie mmekalia tamaa tu. Dhahabu ikipatikana bara, mnasema ni yenu, mafuta yakipatikana Zanzibar ni ya muungano. I will not stand to tolerate this, I will fight for my country.
 
Nyie nendeni tu kaka/dada wengine tusha choka haya makelele. Haya jitengeni muende kuwa kama ulaya.
Sasa wewe mwanafalsafa, mmeambiwa nyie watanganyika, kama mna nia ya dhati ya kutaka tujitenge, basi yaondoeni hayo majeshi yenu mliyoyajaza kila kona huku zanzibar? Maana bora wanajeshi walioko zanzibar wangekuwa ni wazanzibar, sasa wamejaa wabara tupu. Waondoeni muone kama hatujaiomba jumuia ya kimataifa itutambue kama nchi?
 
Mimi nawashangaeni sana nyie watu wa bara, hivi kama kweli mnatubeba, na kwamba hatuna faida kwenu, sasa mnatung'ang'ania wanini? Mbona wabunge wa zanzibar wameleta hoja bungeni kutaka zanzibar itambulike kama nchi mkatufunga mdomo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…