Mbona utajiri ni jambo la kheri sana? Toka lini uligeuka kuwa dhambi au kosa la jinai?
Sheinz type wanataka kutuaminisha kuwa umaskini ndio kigezo cha uongozi na utajiri ni laana. Nani anaechukia utajiri? Ni kukosa tu
Mbona utajiri ni jambo la kheri sana? Toka lini uligeuka kuwa dhambi au kosa la jinai?
LOWASSA ni mwizi na ukoo wake,ngoja J.P.M aingie magogoni aturudishie mali zetu.
Mmeishi nao ndani ya thithiem miaka nenda rudi bila kuhoji utajiri wao. Mwezi mmoja tu kahamia upinzani mnatokwa na povu. Hii inaonyesha wote ambao ni matajiri na bado wako cvm, utajiri wao ni wa shaka na tutajua tu wakihama chama.mtoto wa fisadi papa nae arithi ufisadi wa baba yake, natamani mali zao zitaifishwe
Kwa hiyo kufia muhimbili ni sifa? Acha ubwege mi nilidhani aliumwa akapewa huduma nzuri sasa amepona...upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.
Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza
Kama ni mwizi mbona hajashtakiwa?.. Huna Sera ww?LOWASSA ni mwizi na ukoo wake,ngoja J.P.M aingie magogoni aturudishie mali zetu.
Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.
Hii haisaidii kitu!, it is too little, too late!, Lowassa ndio rais wetu, watu wa mamuzi waliishaamua kitambo, hata mseme nini, haitasaidia kitu!, its never gonna change a thing!.
Unakabiliwa na tatizo la wivu wa kike wa umasikini wa kuwa na chuki kwa kila mwenye nacho!, sisi wengine ni umasikini tumezoea, tena ni masikini jeuri, kama Kozi mwana mandanda, kulala njaa kupenda!, hatuna wivu na wenye nacho, ndio maana tumewakaribisha kwetu!, tumeridhika na umasikini wetu ndio maana kila siku tunaendelea kuichagua CCM huku ikituzidishia tuu huu umasikini!, ila tarehe 25 October, tutasema basi!.
Ila na wewe if you can, just get rich or die trying!.
If you can't, I feel sorry for you!, acha wivu!.
Pole!,
Pasco
We mbwa wa kike,,hata nusu ya maisha ninayoishi huwezi KAMWE kuyafikia,,,mimi sio mlamba miguu wa mbowe,,I am a free thinker: elimu yangu:exposure yangu na mengineyo kamwe hutoweza hata kugusa mbilikimo wewe;kondomu ya mbowe:
I hate Ufisadi,,and I will shout as loudly as I can,,FREELY
Hilo zee zezeta lenu mbowe aliloliokota ni JIZI; tena JIZI PAPA.
I will loudly shout bila mbilikimo kama wewe kunikwaza:
Mkeo amerudi hapo kigamboni,,si tulikuwa naye hapa posta
Wanajamvi,
Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.
Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.
Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.
Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.
Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.
Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?
Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)
Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Namiliki amani yangu na papuchi la mkeo
Mabadiliko ni pale mkeo anapofanywa na jirani yako; hayo ndo mabadiliko
Pasco, tuko pamoja siku hizi.Mkuu mchokonozi, acha uchokonozi wenye maurongo!, mmiliki wa shivacom ni Tanil somaiya na sio RA!. Hata ukisema kweli 99 ukachanganya na uongo mmoja tuu!, huo uongo utafanya hizo kweli zote 99 kuonekana ni uongo mtupu! kwa formular ya samaki mmoja akioza!.