Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Behind the scene hii ni vita ya wazungu VS wachina mungu tusaidie yafikie tamati raslimali zetu zinatutafuna na kutuwekea uhasama wenyewe kwa wenyewe

Yep...

usisahau waarabu wauza unga na wanokwepa kodi walioegemea upande mmoja wa utawala
 
Hatutaki rais mwenye njaa.
Watu wana struggle wewe unaleta majungu. Shauri yako.
 
Mbona utajiri ni jambo la kheri sana? Toka lini uligeuka kuwa dhambi au kosa la jinai?
 
Wanajamvi,

Mimi nilikuwa mfanyakazi wa alphatel mwaka 2001. Kwa kifupi, kuna alphatel ambaye mmili ni fred Lowassa na shivacom ambayo mmiliki ni Rostam Azizi.

Kampuni ya pili ni Integrated Property Limited, wale waliovunja hile nyumba ya sanaa na kujenga majengo yao mawili pale. Rostam na Freddy ni wamiliki wa kampuni hii.

Barare Ltd, wao wanamiliki hoteli ya kitalii huko Mbuzi mawe Serengeti pamoja na shamba la hekari 1950 hapo kigamboni, isitoshe wanamiliki pia hotel tano zanzibar.

Fred ni best friend wa Masha, na wapigaji wa ukweli wote wanaweka vikao pale 777 kwa Mlatie ili wapige pesa ndefuuu.

Mke wa Fred anamiliki shares 30% pale Hyatt Hotel.

Familia hii ina utajiri wa kutupwa, sijui wenzetu walitutangulia lini?

Fred ana kadigrii kamoja, mke wake ni form 6, wana watoto wanne, mmoja kwa bahati mbaya ana matatizo ya ubongo(coincidence, uchawi?? i don't know)

Swali langu:
Hii familia imepataje utajiri wa kutupwa hivi, achana na nyumba Uk, Sweden na Malta
Mkuu ukiona kwenu hakuna mfereji WA hela aanza kuuchimba ili wanao wawe topic..
 
Pasco,Mkuu waandishi wote Tanzania mmeshindwa kutudokeza wale watu wa nne walioenda na Dr.W.Slaa south ni kina nani na wanatoka kada ipi?!

Vipi na mzigo aliopewa mwenye kheri huyu wa kula mihogo na mandondo?!?b

Au waandishi nyinyi mnashindwa hata na wanaoshinda kwenye masina gogi na madhahabuni?!!

Au mtasema kuwa Gwajima muongo?!

Cc Pasco

Propaganda za kwenye Mawio zimewamaliza akili kabisa.Completely brain-washed.
 
Last edited by a moderator:
Habari.ndio hiyo
 

Attachments

  • 1442128473612.jpg
    1442128473612.jpg
    66.8 KB · Views: 405
Nilidhani unasema ana utajiri wa kuiba ama kupora, kumbe ni mfanyabiashara halali Tanzania na ni mlipakodi mzuri ambae taifa linamtegemea,

Kwakukusahihisha tu nikuwa Shivacom ni ya Tanhil Somaiya,

Usiwe na wivu wa kike fanya kazi halali uyajenge maisha yako kijana,

Duh! Asante sana umempa za uso. Kijana mzima hufanyikazi ufanane na wenzako unachunguza kipato halali cha kijana mwenzako? Wivu wa kike huo.
 
Hilo kwetu siyo muhimu hatakidogo. cha muhimu kwa sasa CCM OUT, baada ya hapo ndiyo tuanze kujadili hayo mambo yako.

Aisee nani atakuruhusu utaambiwa shut your mouth kama una ushahid peleka mahakamani, unajua mamlaka ya raisi wew
 
Nashukuru,,mzee wangu ni marehemu so sitamjadili hapa: Nafanya biashara halali kabisa hapa Scandnavian ya kujiajiri: Keep on dreaming: Mpaka sasa kuna watanzania zaidi ya 50 wanaendesha maisha yao kutokana na biashara yangu hapa.As you know,,we have zero corruption in here,,,,aaaaah sorry naongea na mfuasi wa Gwajima,,,nenda kanisani kesho kasali muombee mzee zezeta ashinde uchaguzi akiwa uchi

Hilo wala halina ubishi tunamuombea kweli ashinde uchaguzi hilo wala sio siri na halina mjadala.tunafunga na kusali kwa taarifa yako.
 
wewe umasikini wako unatokana na majungu....ungekuwa sio mtu wa majungu basi na wewe sasa hivi ungemiliki hata scania tatu za kupeleka mizigo kinshasa....utabaki na majungu yako na kupata pesa ya kubadilishia mboga tu mkuu, badilika

sijakataa,,atufundishe na sisi kupiga mavitu basi,,mbona wanapiga wenyewe tu,,tupige wote
 
Yooote ni kweli lakini sisi yanatuhusu nini? Tar 25/Oct mpigie kura Lowasa tafadhali.
 
Chagua MZALENDO ALIYETUKUKA,,Chagua MAGUFULI ili ayafunge majizi na mafisadi

Mhu mwenyewe Jizi.ccm yote majizi. Mwenye dhambi mmoja ametubu na ni furaha kwa watu wote ndio maana unaona watu wote wamefurahia ujio wa Lowasa UKAWA.
 
LOWASSA ni mwizi na ukoo wake,ngoja J.P.M aingie magogoni aturudishie mali zetu.
 
Back
Top Bottom