huyu dogo hana Interest na nursing but yuko interested na chuo cha ardhi, au mawacliano je atapata.? au a apply chuo gan kingine.?
wadau msaada please mdogo alimaliza form 4 (2009) alipata dv 4 ya 29:
CV-D, HIST-D, GEOG-D, KISW-D, ENG-D, BIOS-D, MATH-F, CHEM -F, PHY-F.
Mwaka huu kareset kapata dv 4 ya 28 alama hz:
ENG-C,
CIV-D,
HIS-D,
BIO-D,
GEO-F,
MATH-F,
LITERATURE - C.
Wazazi wanauliza aende wapi? Msaada wenu ndugu.!
Mi ningemshauri aende moja kwa moja CHuo cha Ualimu TTC-Teachers Training College, 1 year then atatokea kuanzia huko....kam vipi Tanzania Public Service College(Utumishi wa Umma aka Magogoni) vile vile anaweza akafanikiwa.
28 | IV | CIV-D HIST-D GEO-D E/D/KIISLAMU-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F |
NURSING SCHOOLS hizo ni badhi ya nursing and clinical officers schoolsmkuu kuna ndugu yangu amepata 4.28 sasa kipindi wanajaza form za kuchagua shule pia kuna vyuo alijaza, je huwa wanachaguliwa moja moja na selection zinatoka kama hao wanaoenda form five?m nataka dogo akasomee clinical nursing ila siajajua steps, vyuo wala ada zao. MSAADA HAPO KAKA
28 IV CIV-D HIST-D GEO-D E/D/KIISLAMU-D KISW-D ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-F
Wadau jamani mbona me hamnisaidii for ya 30 private candidate
c ya histort na english na d ya kiswahili hapa itakuaje anaweza kwenda form five alafu dis year afanye rejista apige 4 akitafuta hiyo moja au aende chuo na kam chuo ni chuo gani
huyu yuko vizuri anaweza akosoma diploma za aina nyingi sanaana 3 point 25 ana eng=B,math=c je anaweza akaanzia diploma na ni chuo gani.tusaidie mkuu
kwa kuongezea hapo mi ngeshauri kama anataka kureseat ni bora amuue kufanya hivyo bila kusoma hiyo form 5 mpaka apate credit na kama yuko serious anaweza akapata hizo credit zote ndani ya mwaka mmoja ni mifano hai ya watu waliojitambua na kutambua walipojikwaa na kusawazisha makosa na kuzipata credit zote na kuendelea na maisha ...by wizzlemalamsha
wadau jamani mbona me hamnisaidii for ya 30 private candidate
c ya histort na english na d ya kiswahili hapa itakuaje anaweza kwenda form five alafu dis year afanye rejista apige 4 akitafuta hiyo moja au aende chuo na kam chuo ni chuo gani
sikia wizzle....4 ya 30 hana ujanja, inabidi arudie tu kama ulivyosema, aende huko private ajiunge na form 5 then mwezi wa 10 afanye tena pepa ya fm 4 atafute hizo c 2....
Ila nilisikia kwamba hairuhusiwi kujiunga form 5 halafu utafute crdt za form 4, si unaona kama ilivyotokea mwwaka huu pepa za form 6 zinaanza matokeo ya form 4 bado hayajatoka. So imagine kama ule mwaka wa form 5 hajapata crdt katafuta wakati yupo form 6 kapiga pepa anasikilizia majibu ya form 4 wakati pepa ya 6 ipo njiani..anyway!! Hope nimeeleweka.
pamoja sana mkuu sizinga hii ni moja ya THREAD MUHIMU HUMU JF KWA KIPINDI HICHI hasa ambapo wazazi wengi na walezi wa wadogo zetu ambao matokeo yao si maziuri sana... ningekuwa ni mmoja wa JF MODERATORS ningeiweka hhi sticky thread kwa mwezi mzima humu jukwa la elimu ili watu watu waweze kuiona na kupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wadau kuhusu alternatives ngyingine za kujikomboa na elimu hii hasa kupitia vyuoni... jinsi gani ya kureseat utaratibu gani ufauate ....mawasiliano ya vyuoni nk kadhalika wadau tuchangie najua hichi kipindi wadau wengi wanahangaika na vijana wao waliteleza kwenye matokeoSafi sana Maganga, umeonyesha njia, hii hata mi mwenyewe imenisaidia sana, keep on posting other colleges if possible
Sikia wizzle....4 ya 30 hana ujanja, inabidi arudie tu kama ulivyosema, aende huko private ajiunge na form 5 then mwezi wa 10 afanye tena pepa ya fm 4 atafute hizo C 2....
Ila nilisikia kwamba hairuhusiwi kujiunga form 5 halafu utafute crdt za form 4, si unaona kama ilivyotokea mwwaka huu pepa za form 6 zinaanza matokeo ya form 4 bado hayajatoka. So imagine kama ule mwaka wa form 5 hajapata crdt katafuta wakati yupo form 6 kapiga pepa anasikilizia majibu ya form 4 wakati pepa ya 6 ipo njiani..anyway!! Hope nimeeleweka. Kwa hiyo chuo awezi pata anarudia mbili au moja coz ana mbili na d moj
pamoja sana mkuu sizinga hii ni moja ya THREAD MUHIMU HUMU JF KWA KIPINDI HICHI hasa ambapo wazazi wengi na walezi wa wadogo zetu ambao matokeo yao si maziuri sana... ningekuwa ni mmoja wa JF MODERATORS ningeiweka hhi sticky thread kwa mwezi mzima humu jukwa la elimu ili watu watu waweze kuiona na kupata mawazo mbalimbali kutoka kwa wadau kuhusu alternatives ngyingine za kujikomboa na elimu hii hasa kupitia vyuoni... jinsi gani ya kureseat utaratibu gani ufauate ....mawasiliano ya vyuoni nk kadhalika wadau tuchangie najua hichi kipindi wadau wengi wanahangaika na vijana wao waliteleza kwenye matokeo
Sikia wizzle....4 ya 30 hana ujanja, inabidi arudie tu kama ulivyosema, aende huko private ajiunge na form 5 then mwezi wa 10 afanye tena pepa ya fm 4 atafute hizo C 2....
Ila nilisikia kwamba hairuhusiwi kujiunga form 5 halafu utafute crdt za form 4, si unaona kama ilivyotokea mwwaka huu pepa za form 6 zinaanza matokeo ya form 4 bado hayajatoka. So imagine kama ule mwaka wa form 5 hajapata crdt katafuta wakati yupo form 6 kapiga pepa anasikilizia majibu ya form 4 wakati pepa ya 6 ipo njiani..anyway!! Hope nimeeleweka. Kwa hiyo chuo awezi pata anarudia mbili au moja coz ana mbili na d moj
Sikia huyo kama alipiga QT akapata hizo C 2 then anahitaji C moja tu ale bata, no option, sehemu kama za ualimu nk wanahitaji div 4 ya point 28, so yeye 30 bado atafute nyingine ajikomboe
pia wenye interest na sheria na wana passes kuanzia nne (4) ukiwa na c au d ya english kuna chuo hichi cha uongozi wa mahakama LUSHOTO ... Welcome to Institute of Judicial Administration (IJA)