Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote, manake naona huku kitaa watu wanadanganyana sana!!

Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi, kama kuna marekebisho basi yafuatie:

=> Credit Qualification kwa hali ya kawaaida ni 'C'-Na ili uende Form 5 unahitaji uwe na C 3, hapa ni either umebalance Combination(Comb) au hujabalance. Sasa kama una C 3 na comb hujabalance, hautachaguliwa serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yako.
[ Mfano: Civ-C, Kisw-C, Geo-C...unaweza fanya HGK ama HGL ama kozi nyingine hata kama english na History una D].

=>Ukiwa na C 2 na D kadhaa(lets say 4 ya 26), hapa utaweza kwenda Form 5 shule za Private lakini utatakiwa utafute C ya 3 kw kureset wakati upo form 5. Same na C 1 You need to re-sit.

=> Hapa sasa ndipo kwenye utata. Ukiwa na D 3, kiukweli sahau Form 5 kama hauhitaji kurisit, sasa qualification hizi zina option zifuatazo:
1. Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda Chuo kwa ngazi ya Certificates. Duraation ya hii kozi ni 1 year Certificate. Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificates. Hapa ni D za masomo yoyote yale Basic(sina uhakika kama B/Knwoledge na Islam zinazingatiwa na ndio maana nasema D za Basic Subjects)
Mfano: Unaweza kufanya Certicates vyuo vya CBE-Mambo ya Biashara, IFM, TIA, Utumishi wa Umma(Public Service) Vyuo vya Kilimo na Ualimunk.
Nakozi nyingi tu wanatoa kwa certificates..mfano Procurement, Accounts, Public Admistration, Recording, Clearing and Forwarding, Social Development, Secretarial Duties, Education nk.

=> Ukiwa na D 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoanisha hapo juu.

=> Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya Basic Diploma katika vyuo vyote wanavyotoa Duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa JUU, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, Teana kama una D ya hesabu na English ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.

=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.

Kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!

UPDATE:

2i9m911.jpg

jidhjp.gif
jamani msaada wenu kwa mwenye D 4 moja ya bios zngne arts anataka kusomea IT
 
Wakuu nahitaji msaada wenu Mimi ni kijana niliyemaliza mwaka 2015 kidato cha nne lengo langu kubwa lilikuwa ni kwenda advance kuchukua pcb lakni katika kufuatilia watu wengi wanaosoma pcb wamekuwa wakipoteza ndoto zao za kuwa madaktari hasa katika somo la physics hvyo nimeamua nikasome cbg je wakuu ntakuwa na future nzuri baadae kama nikisoma cbg
a214d8c39b8734dc3014988c0ac313da.jpg
 
We unataka kua wani?

Mi sikushauri kbs, soma tu HGK au HKL achana na sayansi enzi zetu tulidanganywa sana na hizo maneno. Ukitaka kua mtawala jiachie kwenye ngwini ukitaka kutumwa tumwa nenda kwenye masomo magumu ya sayansi
 
Huu ni Ushauri Mbaya Tu..... nani kasema Hivyo

Kijana We soma Masomo ya sayansi Usiogopeshwe na Kozi ya PCB.....kama Upo willing kusoma NendaKasome Ingawa hata CBG nayo inasaidia Katika Kozi za afya Kama Utapenda Kuja Huku kusomea PHARMACY....NURSING....au LAB

Kama Una Ndugu wa Kukuunganishia Kazi Bila Matatizo soma kozi Hizo Za HKL...HGL...kama Huna Usijaribu
 
Mkuu ushauri hua sio agizo; yeye ndio wa kuchuja pumbu na ngano, so we muachie tu mwenyewe
 
Mkuu ushauri hua sio agizo; yeye ndio wa kuchuja pumbu na ngano, so we muachie tu mwenyewe
Sawa ila Aambiwe ukweli wa Huku Mtaani ... Asije Akajutia .....kuna Mtu alisoma BBA kama Sikosei amekaa Mtaani miaka 3 yaani mpk amekuja Kupata hiyo kazi anashukuru Mungu kwa kweli....

We watu wanahitajika 40 interview ....wanaenda Watu Kujaza Uwanja wa Taifa
 
Mimi binafsi nilitaka kuwa daktar bt kwa kuona watu wengi wanaosoma pcb kuishia pcb na mm pia kuisi sitaimudu physics nmekuwa nkiona bora npge cbg coz naona nayo kama ina faculty nzuri mbeleni
 
yaani ww unanishangaza kweli ndo uko f. 4 tu unawaza future nzuri husikii jinsi madaktari wanvyopigwa na raia wenye hasira kali pamoja na kutumbuliwa majipu hadharani kwa kupokea rushwa ya laki moja? future ninayoona nzuri kwako ni kuanza kujifunza jinsi ya kujiajiri baada ya kumaliza chuo. "kimya kimya"
 
Umekosea siko form four mm n advance mtarajiwa mwaka huu
 
Wakuu nahitaji msaada wenu Mimi ni kijana niliyemaliza mwaka 2015 kidato cha nne lengo langu kubwa lilikuwa ni kwenda advance kuchukua pcb lakni katika kufuatilia watu wengi wanaosoma pcb wamekuwa wakipoteza ndoto zao za kuwa madaktari hasa katika somo la physics hvyo nimeamua nikasome cbg je wakuu ntakuwa na future nzuri baadae kama nikisoma cbg
a214d8c39b8734dc3014988c0ac313da.jpg
nakumbuka miaka hiyo nikiwa najiandaa kwenda advance, watu walikua wanasema kusoma pure ni majanga!!! lakini i asure you kama ningewafwata leo hii nisingekuwa hapa nilipo!!! kwa ushauri tu kasome kombi unayoipenda na usiwe sana mtu wa kusikiliza maneno ya watu!
 
Dogo piga CBG iko poa ukipiga vizur unakuwa na uwanja mpana wa kusoma vitu vingi chuo

Mwambie ukweli.Akisoma CBG na kama hali ikibaki kuwa hii hii,atakua eligible kusoma chuo kimoja tu chenye sifa Tanzania hii..AJUCO

Sitaki kuzungumzia Kampala,HKMU na IMTU kwa sababu maalum

Lakini kwenye afya uwanja wa CBG umefinywa sana.
 
Kassome PGM au EGM, ndo course nzuri kwa umri wenu!

Hakikisha unafaulu sana Geography na Math, then degree za petrelum zitakuwa zimejaa ukimaliza A level, na ukimaliza degree ndo kazi zitakuwa zimemwagika kinoma!

Direct kazini!
 
Back
Top Bottom