Kadegree sio ishu sana.. ishu ni kuboresha maisha mkuu. Ebu nenda pale k'koo kafanye research ndogo tu kujua ni wangapi wenye degree wanaoparate b'ness pale?Kama bado ana nia ya kusoma na wewe unauwezo wa kumsomesha mtafutie shule aanze form two.
Nasema hivi kwani hii situation ilinitokea na mimi. Nina mjomba angu nae alipata div 0 ila nikamtafutia shule akarudia form two na amefanya mtihani last year jana matokeo yametoka amepata division two ya points 19.
Kwahiyo msikilize yeye kama anataka shule bado do like that ila usimlazimishe.
Atleast kwa sasa hivi mtoto ukitaka aende vzr apate angalau first degree maisha ni magumu sana kitaa bila hata kadegree kimoja.
Hata mimi nilikuwa nawaza hivi mkuu, asante
😀😀😀😕Siku hizi watoto wanamaliza form four wakiw bado wadogo kiasi hata kumpeleka ufundi anaweza shindwa hata kushika spana, randa, koleo nk binafsi nakushauri urudie form one hata mrisho mpoto aliwahi imba kuanza upya siyo ujinga..!
Anyway ni mtazamo mkuu., ila ninachoamini mimi mtu msomi na ambae hajasoma hata kama wanafanya the same business tofauti ya uendeshaji wao wa shughuli tofauti ni kubwa sana.Kadegree sio ishu sana.. ishu ni kuboresha maisha mkuu. Ebu nenda pale k'koo kafanye research ndogo tu kujua ni wangapi wenye degree wanaoparate b'ness pale?
Akikomaa kusaka ngawila na kufanikiwa kuwa nazo shule itajileta yenyewe..
Unajua wazazi/walezi wengi wanashindwa kuendana na kasi ya mdololo wa elimu hapa Nchini. Wanajua jukumu ni kutoa ada na kuguarantee uhakika wa mtoto kuhitimu masomo.Very strange. Eti halutegemea wala kijana hakutegemea. Hii ni sawa na kijana kutosoma ili baadaye aje aombewe afaulu!
Mzazi/mlezi asiyejua nini cha kutegemea kwa kijana wake ni dhahiri alikuwa hafuatilii maendeleo yake. Sijui jipu la mzazi wa namna hiyo atatumbua nani.
Kinachotakiwa ni DISCPLINE katika kila ufanyalo.Anyway ni mtazamo mkuu., ila ninachoamini mimi mtu msomi na ambae hajasoma hata kama wanafanya the same business tofauti ya uendeshaji wao wa shughuli tofauti ni kubwa sana.
Kwanza aliesoma kukabiliana na mabadiliko na dhoruba yeyote itakayomkuta ni rahisi sana tofauti na ambae haja soma.
Duniani inabadilika kwa kasi sana with money education is important, fikiria umejiingiza kwenye biashara ukiwa form four leaver muda si mrefu itabidi ujiingize kwenye ndoa na mikopo ya benki unadhani ni rahisi sana kupata muda wa kusoma?
Zungumza naye umueleze umuhimu wa elimu kwa maisha yake ya baadaye halafu arudie mitihani. Usipozungumza naye akajua wajibu wake hata umpeleke wapi kama hajui wajibu wake ni kazi bure.Nina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.
Nimekuja kwenu wakuu kuomba ushauri, najua wapo na wengine wengi watakaofaidika na ushauri huu.
Lengo langu nataka asome. Ni options zipi ambazo zinaweza kumsaidia akaendelea kupata elimu kwa hii div 0 yake, binafsi sijakata tamaa na hata yeye nitamshawish asikate tamaa. Ni binti wa miaka 17 alikuwa huko moshi sasa nikamchukua tupo nae hapa Dar
Alikuwa mkoani huko mkuuKama alisomea dar hiyo secondary mpeleke ufundi mikoa mingine sometimes mazingira nayo yanachangia
Sikutegemea mkuu kutokana na matokeo yake ya vipond vilivyopita, kama mdau mmoja alivyosema huko juu, inawezekana kabisa hata mitihani waliyokuwa wakipewa haikukidhi viwango vya NECTA labda walikuwa wanatudanganya wazazi huwezi kujua, all in all mzazi hawezi kukwepa hizi lawama, binafsi sikuwa nikikaa naye ila nimemchukua alivyomaliza kidato cha nne kwa ajili ya kumuendeleza, kwa hiyo haya matokeo yamekuwa mwiba sana kwake na kwangu...Very strange. Eti halutegemea wala kijana hakutegemea. Hii ni sawa na kijana kutosoma ili baadaye aje aombewe afaulu!
Mzazi/mlezi asiyejua nini cha kutegemea kwa kijana wake ni dhahiri alikuwa hafuatilii maendeleo yake. Sijui jipu la mzazi wa namna hiyo atatumbua nani.
MIMI SIJAOA AND NATAFUTA WIFE KIGEZO MWENYE LEAVING CERTIFICATENina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.
Nimekuja kwenu wakuu kuomba ushauri, najua wapo na wengine wengi watakaofaidika na ushauri huu.
Lengo langu nataka asome. Ni options zipi ambazo zinaweza kumsaidia akaendelea kupata elimu kwa hii div 0 yake, binafsi sijakata tamaa na hata yeye nitamshawish asikate tamaa. Ni binti wa miaka 17 alikuwa huko Moshi sasa nikamchukua tupo nae hapa Dar
Elimu ya bongo ukihalibu form 4 bola utafte namna nyngne ya kutoka ktk maisha na sio kuludia coz hutatoka daima.....pia kwa div four hata ufundi ktk taasisi znazoeleweka anaeza asipokelewe....mpe mtaj wa bzness akishndwa hapo ozesha akaijaze dunia.....Nina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.
Nimekuja kwenu wakuu kuomba ushauri, najua wapo na wengine wengi watakaofaidika na ushauri huu.
Lengo langu nataka asome. Ni options zipi ambazo zinaweza kumsaidia akaendelea kupata elimu kwa hii div 0 yake, binafsi sijakata tamaa na hata yeye nitamshawish asikate tamaa. Ni binti wa miaka 17 alikuwa huko Moshi sasa nikamchukua tupo nae hapa Dar