mkuu dogo yupo Chief Mwang'ombe High school ndo wanamalizia form 6 mwaka huu, hiyo post ya mwaka juzi, dogo alipata post ya serikali kwenye hiyo shule, anapiga PGM, pamoja kamanda.
Jamani na mimi nahitaji
msaada kwa hili , Private Candidate hivi naye akifanya vizuri kwenye
masomo yake anao uhalali wa kuchaguliwa kwenye shule za
serikali?
ipo Musoma, ni ile ya fisadi Nimrod MkonoZumbe iko wapi hii
kibaha ipi ,hii vipaji.hapo hachukuliwi kaka,labda kibah nyingine.pia wengi wamefaulu sana mwaka huu A za kumwagaKibaha wanaweza kweli kumchukua dogo huyu aliyepata bios c, chemia c na geog c?. Ada zao vipi manake naona mtandaoni hawasemi chochote
kamanda huyu hawezi chaguliwa gvt skul,mtafutie private tu.
Na mm nina mdogo wangu amepata Div IV ya 27;
Phy D
Bio C
Chem D
math D
kisw D
Geo D
Civ D
His F
Eng F
hlfu chaguo la kwanza alijaza vyuo na la 2 alijaza Advance
TUSAIDIANENI JMN MAWAZO ILI HAWA WADOGO ZETU WASIWE VIBAKA.
Aende TRACDI DODOMA wanampokea kwa roho nyeupeee.km upo tayari ni Pmnaombeni mnisaidie jamani...mdogo wng amepata 4 ya 40 yani bios-D englsh-D chmstr-E phys-E geo-E math-E literature-E civs-E kisw-E histr-F ....hayo ndo matokeo yake naombeni msaada kama ana weza kwenda chuo nijue na chuo gani?
BUT still pvt chuo kipo mbeya vijijini eneo la iwambi,ni cha kutwa na bweni atachukuliwa bila tatizo.
Yaani huu utaratibu mpya mi sijaufuatilia sana ufaulu wake na qualification zake, lakini ninavyojua kwa Div. 4 ualimu sahau...hata kusomea sheria pia ni ngumu, ushauri wangu tafuta kozi itayokufaa uanze n ngazi ya cheti then ukifaulu vizuri ndo matokeo yako ya cheti somea mambo mengine. Vyuo vya utumishi wa umma ka Public Service College unaweza kusoma pia kozi za Reording Managements au Human Resources certificate na ukaunganisha Diplomajaman wadau naona msaada wenu ni mkubwa sana. me pia nahitaji kusaidiwa. nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013. matokeo ni 4.37
yaan
civ-D, his-E, math-F, eng-C, geo-D, bio-D, kis-D.
Napendelea kwenda ualimu. kwa vyuo vya ualimu serikalin nimeambiwa haiwezekan. je vyuo vya binafsi vinapatikana kutokana na alama nilizopata.? au kama kuna msaada wa vyuo vingine nivyoweza kwenda lakin visiwe vya sheria. asanteni.