hv ile issue ya nafac za kozi za madini walsma mwsho wa kupokea applctn 4mz ni trhe 21,je naweza kufanya mishe zozote nkafnksha kukabdh 4ms zao?na km ltaezekana ntanzia wapi?dah plz help wakuu some 1 told me matokeo yngu yaneweza kunifavour smhw(4m4)
kama ni hicho tembelea website ya hii Mineral Resources Instituteok bro nimekuelewa and thanks kwa kunijuza.nafkiri ndio hicho cha madini dodoma.tangazo lake walilitoa kwenye gazeti la tarehe 14 unfortunately nkachelewa kupata hizo habar
| Mineral Resources Institute P.O.Box 1696 Dodoma. E: info@mri.ac.tz T: +255 (26) 2300471, +255 (22) 2303159 F: +255 (26) 2300472 | |
| The Principal of MRI M: +255 (00) 000000 E: principal@mri.ac.tz | |
| Registrar M: +255 (00) 000000 E: registrar@mri.ac.tz |
ok pouwa utanijulisha ukifanikishathanx sana mr.maganga mkweli,unastahili big up,you help alot.nshazidownload ngoja nijaribu bahati yangu.
umenena vyema ndugu yangu na mdogo wangu kwanza nikutakie maandalizi mema ya mtihani wako wa kidato cha nneMkuu naomba unisaidie swali lifuatalo"mimi ni form 4(2012) wa shule ya secondary ifunda technical,nauhakika wa kupata div 1 baada ya kufanya mtihani wiki moja mbele,nachotaka kufahamu ni kwamba nikienda CBE college,na uwezo wa kuanza diploma?malengo yangu ni kufikia kuwa na elimu ya MBA,je path niliyochagua ni sahihi?ipi ni advantage ya kwenda college na kutokwenda advance?lakini pia nauwezo wa kufanya BBA ndani ya miaka 5 nikipitia huko?
NB:Nimeamua kwenda college ya biashara coz biashara ipo ktk damu,nataka niwe very proffesional,very exiperienced.
Haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote, manake naona huku kitaa watu wanadanganyana sana!!
Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi, kama kuna marekebisho basi yafuatie:
=> Credit Qualification kwa hali ya kawaaida ni 'C'-Na ili uende Form 5 unahitaji uwe na C 3, hapa ni either umebalance Combination(Comb) au hujabalance. Sasa kama una C 3 na comb hujabalance, hautachaguliwa serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yako.
[ Mfano: Civ-C, Kisw-C, Geo-C...unaweza fanya HGK ama HGL ama kozi nyingine hata kama english na History una D].
=>Ukiwa na C 2 na D kadhaa(lets say 4 ya 26), hapa utaweza kwenda Form 5 shule za Private lakini utatakiwa utafute C ya 3 kw kureset wakati upo form 5. Same na C 1 You need to re-sit.
=> Hapa sasa ndipo kwenye utata. Ukiwa na D 3, kiukweli sahau Form 5 kama hauhitaji kurisit, sasa qualification hizi zina option zifuatazo:
1. Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda Chuo kwa ngazi ya Certificates. Duraation ya hii kozi ni 1 year Certificate. Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificates. Hapa ni D za masomo yoyote yale Basic(sina uhakika kama B/Knwoledge na Islam zinazingatiwa na ndio maana nasema D za Basic Subjects)
Mfano: Unaweza kufanya Certicates vyuo vya CBE-Mambo ya Biashara, IFM, TIA, Utumishi wa Umma(Public Service) Vyuo vya Kilimo na Ualimunk.
Nakozi nyingi tu wanatoa kwa certificates..mfano Procurement, Accounts, Public Admistration, Recording, Clearing and Forwarding, Social Development, Secretarial Duties, Education nk.
=> Ukiwa na D 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoanisha hapo juu.
=> Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya Basic Diploma katika vyuo vyote wanavyotoa Duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa JUU, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, Teana kama una D ya hesabu na English ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.
=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.
Kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!
![]()
![]()
Jamani naombeni msaada kama kuna mtu anajua chuo cha afya labaratory au clinical kinachoweza kuwa na nafasi anisaidie,natangulizha shukrani.
ok ngoja nijaribu kufuatilia ntakujulisha
sasa fanya hivi ukifika arusha nenda arusha technical college kaangalie utaratibu pale kama diploma wameshaanza na kama kuna utaratibu nini ufanye utapata maelekezo