Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
hapana sikupata ndugu yangu nitumie tenabroh ina maana hukupat msg yangu ?

umeapply cheti gani Mr MchunguziNilikua naomba msaada,nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana kwenye fulan ya kata nimepata dv 4 point 26.kama ifutavyo;
Geo D
Hist D
Kisw D
Eng D
Civ C
B/math C
Bios D
na F mbili za B/kpng na comerce,niliajaribu kuomba nafac ya kusoma advnce huku na reseat cmb(EGM) Lakin nikaambiwa utaratibu huo ulishafutwa labda ujeufanye mtihan wa form six kma pc,nikaamua kughahil na ku2ma maombia katika chuo cha mipango dodoma(IRDP) kwa kuanzia ngazi ya chet na baadae diploma sasa ninawasiwas kama naweza kuchaguliwa na kama nikichaguliwa ngependa kujua ajira zake ziko vp na uteuz wa wanafunzi unatoka lin?Nahtaj msaada wako mkubwa!
Nilikua naomba msaada,nimemaliza kidato cha 4 mwaka jana kwenye fulan ya kata nimepata dv 4 point 26.kama ifutavyo;

habari yako ndugu kuhusu MAJINA ya kujiunga na vyuo vya ualimu kwa ngazi ya cheti na diploma yametokanaitwa pili, hongera sana ndugu kuwa hapa forum maana unasaidia sana watanzania.nahitaji msaada wa matokeo ya kujiunga na vyuo vya ualimu,je yametoka?nisaidien jaman niko njia panda.jina ni pili lugera,nisaidie uniangalizie kama nimechaguliwa ndugu yangu.email yangu ni maduhujackier@gmail.com
Cna mpango wa kwenda advance..nina dvsn 1 ya 17 yn B 4 na C 5,na nina mpango wa kuchkua coz za sayanc eg arc,civil,I.T,I.C.T, au minng ila ngeitaji ushauri coz gani tkw the best..plz naitaji ushaur help l b gr8ful
umemaliza form mwaka gani..?thnx sana,naje naweza kupata government spornsorship?na ntapitia njia gani? na ni vyuo gani ndo itakua the best kwa ajili ya dploma?
so akina I.T hwana issue?
unaishi mkoa gani..?memalza 4m4 2012 bt nkshndwa kuendlea coz nlikua naumwa sana,saiv nipo okey ndo cjajua mpka saiv knchofwata nn!
sasa fanya hivi ukifika arusha nenda arusha technical college kaangalie utaratibu pale kama diploma wameshaanza na kama kuna utaratibu nini ufanye utapata maelekezoNaish arusha ila kwa sasa nipo tanga bt after 2 weeks ntakua nsharudi arusha